Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Nimekua nikimfatilia sana huyu kijana na inspiration stories zake za kuhamasisha vijana kuacha kuajiriwa na kujiajiri wenyewe kama alivyofanya yeye kuacha kazi Heinken.....na miminikaacha kazi bwana ..Joto nalokula huku mtaani ni mm mwenyewe najua.

Cha kushangaza aliyekua anatushauri naona kaajiriwa E-FM .....KWELI NIMEAMINI MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI
[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
CD4 ni kama JWTZ mwilini, virusi ili viishi kwenye mwili vinajichanganya na CD4 cells na kuwanza kuviua na kutoa copy zenye virusi. Ukinwywa ARV zinaua virusi wanaotembea kwenye damu na ku inhibit virusi visizaliane. Virusi vikizibitiwa Jeshi la CD4 linaingezeka. Fikiria nchi bila jeshi la ulinzi kila adui atatushambulia ni kama mwili bila CD4.
sasa inakuaje mtu anakuwa na HIV mwilini hata miaka 10 bila ya kuumwa au deception alitudanganya? au tuseme hivi mtu akiambukizwa leo anaitaji kutumia arv lini?
 
sasa inakuaje mtu anakuwa na HIV mwilini hata miaka 10 bila ya kuumwa au deception alitudanganya? au tuseme hivi mtu akiambukizwa leo anaitaji kutumia arv lini?
Hao unakuta CD4 zao kabla maambukizi zilikuwa vizuri sana na katika hiyo miaka kumi zinapungua taratibu, wengine wanakuwa na bahati tu lakini wengine wanapata magonjwa nyemelezi kama TB na pneumonia ambavyo vinapelekea kubainika HIV
 
Kwamba Ngoma sijui

ila Naambiwa Mfumo wa upumuaji ulifeli, na kama ni kweli basi am 90% kuwa hii kitu Shisha ilichangia maana jamaa alikuwaga mtumiaji na mhamasishaji wa kweli wa hii kitu kabla haijapigwa marufuku
 

Attachments

  • shi.PNG
    shi.PNG
    138.5 KB · Views: 53
Le Mutuz a.k.a The Big Boss in Town huwa nakukubali sana Jombaaaaa hasa unavyoyajib maswali kwenye interview ambazo huwa unashiriki.Ni-pm nikupe wazo

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Huna lolote

Unataka kuamshiwa dude tuu
 
wanasema cd4 ilishuka sana alikuwa hana namna

Kama ndo hivyo huyu kiumbe atakua kaacha kilio kikubwa huku duniani. Kuna binti alikua anaishi nae kinyumba namfahamu ila walikuja kuachana. Sijui kama kasalimika binti wa watu [emoji31][emoji30]
 
woga na ustaa mpenzi akienda kuchukua watamuona .. ule msemo mficha maradhi kifo umuumbua ndiyo hivyo tena ila alale kwa amani tu
Si angetafta daktar awe anamletea? Mbona wapo wanaotibiwa majumbani? Hatari!

Arage Jekundu.
 
Back
Top Bottom