mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Kuna watu wanaenda hadi Moro.kuna watu wanachukulia hata mpakani huko
Nili mwambia nimejifunz kitu jamaa kama alikua na maonoWe Jamaa ni noma sana kunakitu ulikiona.
hamna cd4 ziliisha
[emoji22] apumzike kwa amanihamna cd4 ziliisha
ahahaaa mkuu nimepima juzi nimeambiwa nirudi baada ya miezi mitatuNimefatilia maswali yako naona hauna AMANI.
Huyo Jamaa alikua rafiki wa mdogowangu ila walipishana kidogo kibiashara ni Instagram Pat walikua waandaaji.Nili mwambia nimejifunz kitu jamaa kama alikua na maono
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Kidgo mlikua mna fahamian pole mkuu kwa msiba mpe pole mdgo wako....hiyo insta party ilishiaga wap??Huyo Jamaa alikua rafiki wa mdogowangu ila walipishana kidogo kibiashara ni Instagram Pat walikua waandaaji.
R.i.p kuna wengi sana watalia huko ista.
Mkuu si kuna button ya report mkono kulia ubonyeze na kutoa sababu ya kwanini uzi ufutwe?Mods kuna replay humu zinatuongezea majonzi wafiwa hebu fanyeni kufuta.
-Ndumilakuwili-
unajua najiuliza hadi mtu afariki na cd4 pungufu ni uzembe sana . maana najiuliza kijana kama huyu alipata lini ngoma ? hadi cd4 zikapungua hivo maana ana katoto ka miaka kama mitatu hivi sidhani kama kana ngoma ina maana atakuwa alipata miaka kama miwili hivi ndo afe jamani?Hao unakuta CD4 zao kabla maambukizi zilikuwa vizuri sana na katika hiyo miaka kumi zinapungua taratibu, wengine wanakuwa na bahati tu lakini wengine wanapata magonjwa nyemelezi kama TB na pneumonia ambavyo vinapelekea kubainika HIV
Inawezekana ikawa kabla ya hapo na alikuwa kwenye ARV'S na undetectable status hivyo mama na mtoto walipona.unajua najiuliza hadi mtu afariki na cd4 pungufu ni uzembe sana . maana najiuliza kijana kama huyu alipata lini ngoma ? hadi cd4 zikapungua hivo maana ana katoto ka miaka kama mitatu hivi sidhani kama kana ngoma ina maana atakuwa alipata miaka kama miwili hivi ndo afe jamani?
undetectable status ndo nini tena?Inawezekana ikawa kabla ya hapo na alikuwa kwenye ARV'S na undetectable status hivyo mama na mtoto walipona.
Ilikuwaje kwani mkuu?...Mkuu huyu jamaa sio mzima niliwahi kukaa naye pale THE PARLIMENT ,unavyosema nakuunga mkono
Bado inaendelea sema anaibolesha zaidi .mkuuKidgo mlikua mna fahamian pole mkuu kwa msiba mpe pole mdgo wako....hiyo insta party ilishiaga wap??
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Huyo Jamaa alikua rafiki wa mdogowangu ila walipishana kidogo kibiashara ni Instagram Pat walikua waandaaji.
Shosti nimeieleza post za nyuma leo.undetectable status ndo nini tena?
Duh basi anaondoka na wengi.R.I.P
ila huyu kaka alikua tongoza tongoza balaa.
akiona kimsambwanda IG Keshakuzukia
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
nielezee bana maana leo nimeamini ngoma ipo ila nashindwa kuelewa imeondokaje na jamaa fasta hivoShosti nimeieleza post za nyuma leo.
sana[emoji24]Duh basi anaondoka na wengi.
Wema hawa dumu mkuu....vijana tuna potea list ina ongezeka ya vijana marehemu kanumba,ngwair,sharo na wengine...!!!!!!!! Mishuma yao imezima nyota zilikua zina waka na skiliza e fm nw nyimbo za huzun sana sipati picha kipind cha ubaoni kikianza maana ndo team yake mpoki,kapanga,doki na dj speer wata nywea sana sana utendaj wa kaz utakua wa chini sana waki miss moment kua nae jirani haswa segment funga mkanda,ushaur wa bure na kubwa kubwa za leoBado inaendelea sema anaibolesha zaidi .mkuu