CD4 ni kama JWTZ mwilini, virusi ili viishi kwenye mwili vinajichanganya na CD4 cells na kuwanza kuviua na kutoa copy zenye virusi. Ukinwywa ARV zinaua virusi wanaotembea kwenye damu na ku inhibit virusi visizaliane. Virusi vikizibitiwa Jeshi la CD4 linaingezeka. Fikiria nchi bila jeshi la ulinzi kila adui atatushambulia ni kama mwili bila CD4.
Ni kweli ARV za sasa zimeshindwa tu kupenya kwenye thymus hii ndiyo code ambayo scientists hawajaicrack officiallyMadam Sky,
ARVs 'zinaua' HIV waliopo kwenye blood stream ?!!
Yaani arv 'ZINAUA' HIV?
-Kaveli-
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Usiogope hata Mimi ni doctor...ni pm nikupe formula ya kuua hivi virusi [emoji4]
Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
alikutongoza?R.I.P
ila huyu kaka alikua tongoza tongoza balaa.
akiona kimsambwanda IG Keshakuzukia
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
ni watu au ni cell?Tulibishana sana hapa kuhusu hizi research za deception, ARV's ukizitumia kufuatana na maagizo unafikia undectable status hapo unakuwa huna wadudu kwenye mzunguko wa damu na CD4 wanaongezeka.
Ni cells mkuuni watu au ni cell?
ndio[emoji24][emoji24]alikutongoza?
princes ariana ulimpa???
ndio[emoji24][emoji24]
Sent from my Iphone-7 using JamiiForums Mobile App
Hapana sikumpa chochote zaidi nilimshangaa kunitongoza mimi, maana watu famous wanatakaga famous wenzao sasa mimi maisha yangu tu wereva tosha ,kimemvutia nini? kihips/kitako ndio anizukieprinces ariana ulimpa???
Acha ngono kabisaMkuu aya mambo bora kuwa makini tu usije ukakanyaga waya maana acha kabisa. Mi mwenyewe kumeza dawa tu za kawaida naogopa hiyo adhabu za kila siku sidhani kama ntaiweza kwa kweli. May Jah forbid it.
Wabongo kwa figisu figisu tumeshindikana, kisa katangulia basi ndo story zake zinaanza kutiririka za uongo na kweliKama ndo hivyo huyu kiumbe atakua kaacha kilio kikubwa huku duniani. Kuna binti alikua anaishi nae kinyumba namfahamu ila walikuja kuachana. Sijui kama kasalimika binti wa watu [emoji31][emoji30]
Ni kweli ARV za sasa zimeshindwa tu kupenya kwenye thymus hii ndiyo code ambayo scientists hawajaicrack officially
Hapana sikumpa chochote zaidi nilimshangaa kunitongoza mimi, maana watu famous wanatakaga famous wenzao sasa mimi maisha yangu tu wereva tosha ,kimemvutia nini? kihips/kitako ndio anizukie
nikaogopa
Sent from my Iphone-7 using JamiiForums Mobile App