Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Kwa nini alijiita bikira wa kisukuma wakati yeye ni kidume?

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Nimekua nikimfatilia sana huyu kijana na inspiration stories zake za kuhamasisha vijana kuacha kuajiriwa na kujiajiri wenyewe kama alivyofanya yeye kuacha kazi Heinken.....na miminikaacha kazi bwana ..Joto nalokula huku mtaani ni mm mwenyewe najua.

Cha kushangaza aliyekua anatushauri naona kaajiriwa E-FM .....KWELI NIMEAMINI MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
- hahahahaha mkuu siku akijiajiri labda ndio anaweza kuwa level yangu poleni sana wewe na yeye, ok hahaha

Le Big Show
Le Mutuz a.k.a The Big Boss in Town huwa nakukubali sana Jombaaaaa hasa unavyoyajib maswali kwenye interview ambazo huwa unashiriki.Ni-pm nikupe wazo

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Mpoki anaroga sana wenzake pale E FM hasa lilipokuja suala la vyeti ndio kabisaaaa
IMG_20170709_140729.jpg

May Allah bless Me and You
 
Hapo Mawingu napo yaaminika wapo akna...sijui kama ni rumours au ni kweli

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Rest in peace Seth( imeniumaa sana) sijajua sababu but imeniumaaa Hasa nikikafikilia kale katoto kake kadogo ka kike walipendana wenyewe Na majuzi kalikuwa kanamtaka Baba ake arudi nyumbani toka hospital (ukiangalia Instagram page yake)

Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app
 
R.I.P kjana mwenzetu,tumetoka mavumbini na tutarudi mavumbini,tutayashinda mambo yote lakn kifo hatutakishnda

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Ninamfahamu huyu jamaa sana! Ni mtu mmoja fresh na kiukweli ana akili sanaaa tena sanaa sio kidogo...huyu ni graduate wa mambo ya biashara toka Tumaini University Iringa...amefanya kazi Exim, Bank M, Mbeya Cement, Twiga Cement, Airtel , Voda, Heineken hii yote ni ndani ya six au seven years...akaamua kuacha kazi na kuutafuta umaarufu mjini....washkaji wengi wanamkimbia kwa sababu wanaona kama anawaaibisha maana uwezo wake kichwani hakufaa aongozane na watu anaoongozana nao...hakupaswa kujirahisisha kutafuta cheap publicity...
Ila wengi hawajui kuwa haayo mafanikio wanayoyataja ya huyu jamaa ni ya online kwenye social media..yaani mbali na hapo jamaa hana mafanikio yoyote...labda kuwa na gari! ana akili sana lkn hajui kupanga maisha yake sidhani kama anaogopa kesho....anazeeka na ustaa anaacha kufanya mambo ya maana japo ana nafasi nyingi za kuingiza fedha sababu ana akili na anajua kutumia fursa....huyo utakuta hata pa kuishi hana anaishi kwa mtu...Seth it's high time now...ujidefine, ujue umekua...get yourself a home...au kampe company mdingi Changanyikeni....boresha geto lako pale nje kwa mzee...get a life...nadhani redioni uko vzr, andika vitabu, start a talk show or something....you can go far...achana na hii cheap publicity ya kumsaka Wema sijui Diamond....cha mwisho Seth umekuzwa kanisani...usimuache Mungu...cheap publicity isikutenge na muumba wako! rudi kanisani...ukimaliza starehe zako mtaani rudi kanisani japo once per week...sali...your mum will be proud where she is akijua hujaacha muongozo aliokupa! kila la kheri bikira...sina ukakasi na jina lako naona liko poa tu!
Daah nadhani ushauri wako aliuzingatia hasa hasa wa kurudi church.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Najiuliza kama Seth alisikiliza ushauri wako??
 
Back
Top Bottom