Na Hao ndio waliomtia chaka Chid Beenz.ha ha ha chid benz alikuwa na mlinzi.. haha huyo mlinzi akashindwa kulinda na ngada?
Alimlawiti mtoto ,wahuni wakamaindi wakaamua kumfanyia vileAlipumuliwa sio kwa kupenda, sijui alifanya msala gani wahuni wakakusanyana wakamfanyia kitu mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona vijana wanapga doso cjui wanamaliza lini mafunzo yao!!!kale kauzi ka jkt hvi bado kapo humu?Doso[emoji116]
Je unazijua kazi ambazo watu huzifanya kama last option? Au kimbilio? Baada ya either kuona atashindwa competition ya ajira au baada ya kutafuta kazi na kukosa au kwa ajili ya kukimbilia tu job security..??
Ngoja niku listie hapa mdogo wangu naona wewe ni mgeni
1. Ualimu - watu husomea ualimu ili wapate mkopo chuo kikuu lakini pia ili wapate ajira kwa urahisi lakini pia watu ambao hawakufanya vizuri kidato cha nne na wakashindwa kuendelea na masomo hukimbilia huku pia waliomaliza form six na kufeli..
2. Upolisi au uaskari tu kwa ujumla - watu hukimbilia huku pia baada ya kukosa ajira au baada ya kuhisi kuwa watasumbuka kwenye swala la ajira. Pia zamani watu walikuwa wakiwa hawajafanya vizuri form 4 au 6 pia walikuwa wanakimbiziwa huku kwenye majeshi. Ndio maana majority kule ni watu type hiyo.
3. Unesi (sio udaktari) - watu wengi pia hasa dada zetu wamekuwa wakikimbilia kwenye tasnia hii baada ya kutofanya vizuri kwenye masomo.
Na zingine ambazo sijataja.
Ndugu yangu huo ndio Ukweli Mchungu. Na haya maisha ni magumu. Hivyo sishangai watu fulani fulani kukimbilia kazi fulani fulani.
I hope umenielewa..
Kapo mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona vijana wanapga doso cjui wanamaliza lini mafunzo yao!!!kale kauzi ka jkt hvi bado kapo humu?
Bukta mbona pana jamani hapa jongoo haonekani kweli?Doso[emoji116]
Hapana nchiyetu haitambui hicho, kuna sheria za ulinzi binafsi nahio inaruhusu uwe kama kampuni kwamfano KKsecurity nk, nchi zawenzetu sheria inaruusu namlizi anasajiliwa. Mfano marekani kuna jeshi binafsi lisilo laserkali , nakunawakati serekali inakodi ata askari inalipa,Habari Wadau
Nimekuwa nikimfatilia huyu jamaa anayeitwa Mwarabu Fighter a.k.a body guard wa Chibu dangote bin laden platnumz.
Sasa katika kumwangalia kwangu namuona jamaa kweli ni mkakamavu na amekomaa kweli. Lakini najiuliza maswali kadhaa,
1. Je huyu jamaa ana mafunzo yoyote ya kijeshi?
2. Je anaruhusiwa kumpiga mtu pindi akimsogelea diamond?
3. Je ukimsogelea diamond atakufanya nini?
4. Je sheria inamruhusu kumpiga mtu atakayemsogelea Diamond platnumz??
5. Je anajua kutumia silaha?
6. Je pale alipo ana silaha yoyote?
Na je ametoa wapi utaalamu wa kuwa body guard? Maana kuwa mzinzi binafsi sio kazi rahisi kwani unatakiwa kupata mafunzo maalum nchi mbalimbali au pia kwenye majeshi vikosi maalum..
Mwenye kumjua huyu jamaa naomba taarifa zake tafadhali. Bila kisahau elimu yake na wasifu kwa ujumla (CV)
ASANTENI
MwambieJe unazijua kazi ambazo watu huzifanya kama last option? Au kimbilio? Baada ya either kuona atashindwa competition ya ajira au baada ya kutafuta kazi na kukosa au kwa ajili ya kukimbilia tu job security..??
Ngoja niku listie hapa mdogo wangu naona wewe ni mgeni
1. Ualimu - watu husomea ualimu ili wapate mkopo chuo kikuu lakini pia ili wapate ajira kwa urahisi lakini pia watu ambao hawakufanya vizuri kidato cha nne na wakashindwa kuendelea na masomo hukimbilia huku pia waliomaliza form six na kufeli..
2. Upolisi au uaskari tu kwa ujumla - watu hukimbilia huku pia baada ya kukosa ajira au baada ya kuhisi kuwa watasumbuka kwenye swala la ajira. Pia zamani watu walikuwa wakiwa hawajafanya vizuri form 4 au 6 pia walikuwa wanakimbiziwa huku kwenye majeshi. Ndio maana majority kule ni watu type hiyo.
3. Unesi (sio udaktari) - watu wengi pia hasa dada zetu wamekuwa wakikimbilia kwenye tasnia hii baada ya kutofanya vizuri kwenye masomo.
Na zingine ambazo sijataja.
Ndugu yangu huo ndio Ukweli Mchungu. Na haya maisha ni magumu. Hivyo sishangai watu fulani fulani kukimbilia kazi fulani fulani.
I hope umenielewa..
Mmmmmmmh hii mbn mpyaMabouncer wengi wanapumuliwa wanaamini manii zinawapa nguvu ya ziada
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmmmmmh hii mbn mpya
Hahahaaa mkuu una wivu bora nikwambie ukweli tuWatu wanaojidai wamepita mafunzo ya majeshi wanaringaga jaman.
Mnasahau kuwa mlienda huko baada ya kukosa raamani kitaa. Wengi wenu ni failures au basi hata kama ni ma graduates basi mlikosa mishe kitaa au mliogopa changamoto za ajira.
Ila mkishatokaga huko mnajiona sijui kama nyie ni watu gani. Kumbe si tunawahurumia tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ndio inaitwa mis use of resources ...limwili lote hilo c angeenda shambani kulima ekari sita mpaka kumi....atengeneze fedha zitakazo mfanya kuwa huru ...mwili jumba akili ...pilitoni
Arafat ngumi jiwemweupe sana na hana lolote kuna bodigad wa dully alipewa promo humu baadae akaja gundulia analiwa kiboga eti walimuita ngumi jiwe huku anapumuliwa tz kwa mizaha