Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

ha ha ha chid benz alikuwa na mlinzi.. haha huyo mlinzi akashindwa kulinda na ngada?
Na Hao ndio waliomtia chaka Chid Beenz.

Zile kesi nyingi za kupiga watu na wasanii wengine zilikuwa zinafanywa na yule mlinzi na mshkaji wake wa kuitwa Modi Bize ila lawama zote akawa anabeba Chid kuwalinda wanae.
 
Doso[emoji116]
f974bdf4413ee07f4ee451b5dbdd15cb.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona vijana wanapga doso cjui wanamaliza lini mafunzo yao!!!kale kauzi ka jkt hvi bado kapo humu?
 
Je unazijua kazi ambazo watu huzifanya kama last option? Au kimbilio? Baada ya either kuona atashindwa competition ya ajira au baada ya kutafuta kazi na kukosa au kwa ajili ya kukimbilia tu job security..??

Ngoja niku listie hapa mdogo wangu naona wewe ni mgeni

1. Ualimu - watu husomea ualimu ili wapate mkopo chuo kikuu lakini pia ili wapate ajira kwa urahisi lakini pia watu ambao hawakufanya vizuri kidato cha nne na wakashindwa kuendelea na masomo hukimbilia huku pia waliomaliza form six na kufeli..

2. Upolisi au uaskari tu kwa ujumla - watu hukimbilia huku pia baada ya kukosa ajira au baada ya kuhisi kuwa watasumbuka kwenye swala la ajira. Pia zamani watu walikuwa wakiwa hawajafanya vizuri form 4 au 6 pia walikuwa wanakimbiziwa huku kwenye majeshi. Ndio maana majority kule ni watu type hiyo.

3. Unesi (sio udaktari) - watu wengi pia hasa dada zetu wamekuwa wakikimbilia kwenye tasnia hii baada ya kutofanya vizuri kwenye masomo.

Na zingine ambazo sijataja.

Ndugu yangu huo ndio Ukweli Mchungu. Na haya maisha ni magumu. Hivyo sishangai watu fulani fulani kukimbilia kazi fulani fulani.

I hope umenielewa..

Acha dharau za kitoto grow up. Wewew wazazi wako wako wamesoma mpaka wapi?
 
Hii ndio inaitwa mis use of resources ...limwili lote hilo c angeenda shambani kulima ekari sita mpaka kumi....atengeneze fedha zitakazo mfanya kuwa huru ...mwili jumba akili ...pilitoni
 
Habari Wadau

e9867104453a26dc5530ad9955e96392.jpg

Nimekuwa nikimfatilia huyu jamaa anayeitwa Mwarabu Fighter a.k.a body guard wa Chibu dangote bin laden platnumz.

Sasa katika kumwangalia kwangu namuona jamaa kweli ni mkakamavu na amekomaa kweli. Lakini najiuliza maswali kadhaa,

1. Je huyu jamaa ana mafunzo yoyote ya kijeshi?

2. Je anaruhusiwa kumpiga mtu pindi akimsogelea diamond?

3. Je ukimsogelea diamond atakufanya nini?

4. Je sheria inamruhusu kumpiga mtu atakayemsogelea Diamond platnumz??

5. Je anajua kutumia silaha?

6. Je pale alipo ana silaha yoyote?

Na je ametoa wapi utaalamu wa kuwa body guard? Maana kuwa mzinzi binafsi sio kazi rahisi kwani unatakiwa kupata mafunzo maalum nchi mbalimbali au pia kwenye majeshi vikosi maalum..

Mwenye kumjua huyu jamaa naomba taarifa zake tafadhali. Bila kisahau elimu yake na wasifu kwa ujumla (CV)

ASANTENI

8f8b698e0547626740fe2d6ee66e4617.jpg

0e072fa4d07a4563fa2f035ceefcd1b1.jpg

e8ae70cc3e67b54c661ca17514673ed2.jpg

d61739752bb30c6934e62ecababc2aa6.jpg
Hapana nchiyetu haitambui hicho, kuna sheria za ulinzi binafsi nahio inaruhusu uwe kama kampuni kwamfano KKsecurity nk, nchi zawenzetu sheria inaruusu namlizi anasajiliwa. Mfano marekani kuna jeshi binafsi lisilo laserkali , nakunawakati serekali inakodi ata askari inalipa,
 
Je unazijua kazi ambazo watu huzifanya kama last option? Au kimbilio? Baada ya either kuona atashindwa competition ya ajira au baada ya kutafuta kazi na kukosa au kwa ajili ya kukimbilia tu job security..??

Ngoja niku listie hapa mdogo wangu naona wewe ni mgeni

1. Ualimu - watu husomea ualimu ili wapate mkopo chuo kikuu lakini pia ili wapate ajira kwa urahisi lakini pia watu ambao hawakufanya vizuri kidato cha nne na wakashindwa kuendelea na masomo hukimbilia huku pia waliomaliza form six na kufeli..

2. Upolisi au uaskari tu kwa ujumla - watu hukimbilia huku pia baada ya kukosa ajira au baada ya kuhisi kuwa watasumbuka kwenye swala la ajira. Pia zamani watu walikuwa wakiwa hawajafanya vizuri form 4 au 6 pia walikuwa wanakimbiziwa huku kwenye majeshi. Ndio maana majority kule ni watu type hiyo.

3. Unesi (sio udaktari) - watu wengi pia hasa dada zetu wamekuwa wakikimbilia kwenye tasnia hii baada ya kutofanya vizuri kwenye masomo.

Na zingine ambazo sijataja.

Ndugu yangu huo ndio Ukweli Mchungu. Na haya maisha ni magumu. Hivyo sishangai watu fulani fulani kukimbilia kazi fulani fulani.

I hope umenielewa..
Mwambie

Chezea neurosurgeon wewe
 
Mwenye picha ya huyo Arafati Ngumijiwe tunaiomba tafadhal
 
Watu wanaojidai wamepita mafunzo ya majeshi wanaringaga jaman.
Mnasahau kuwa mlienda huko baada ya kukosa raamani kitaa. Wengi wenu ni failures au basi hata kama ni ma graduates basi mlikosa mishe kitaa au mliogopa changamoto za ajira.

Ila mkishatokaga huko mnajiona sijui kama nyie ni watu gani. Kumbe si tunawahurumia tu
Hahahaaa mkuu una wivu bora nikwambie ukweli tu
 
Wanajua hao blogger na mwarabu ni watu wa karibu kwa muda mreeefu saana....

Eti komando wa iran... ndo nin sasa...
Bongo kwa kupaishana msaala saaana.

Ngoja siku abananishwe kwenye bawaba... blogger utueleze.

Training iyo... afu uwe mfungua mlango... aaah aaah
 
Back
Top Bottom