Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

KAMA umecheza karate na ujawai kupigana,basi wewe Ni mchovu kabisa,, mkuu mimi nimecheza karate aswa,, na ngumi za kitaa nishapiga na nishapigwa pia,, halafu ngumi za ugomvi tofauti na ngumi za kwenye steji au dojo pia,, ngumi za ugomvi we unakaa mkao wa ngumi,, muhuni anakuvaa kabla hujakaa sawa,,,
 
mweupe sana na hana lolote kuna bodigad wa dully alipewa promo humu baadae akaja gundulia analiwa kiboga eti walimuita ngumi jiwe huku anapumuliwa tz kwa mizaha[/QUO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…