Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
KAMA umecheza karate na ujawai kupigana,basi wewe Ni mchovu kabisa,, mkuu mimi nimecheza karate aswa,, na ngumi za kitaa nishapiga na nishapigwa pia,, halafu ngumi za ugomvi tofauti na ngumi za kwenye steji au dojo pia,, ngumi za ugomvi we unakaa mkao wa ngumi,, muhuni anakuvaa kabla hujakaa sawa,,,mkuu, nasema mbele za mungu, ninayo black belt. na sidhani kwamba nimevunja nidhamu hapa. tangu nianze haya mavitu sijawahi kupigana na raia yeyote yule na sitegemei kupigana kwasababu huwa nahisi nitawaumiza tu. zaidi ya kucheza kumite kwenye ulingo, sijawahi piga mtu na sitegemei kupiga mtu.