PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mafunzo ya kijeshi sidhani labda atakua kapitia mafunzo ya kujihami dhidi ya adui bila kutumia silaha(self defence) hasa martial arts.
Alafu jeshini unaweza kua baunsa na bado ukatoroka kozi, kule unaambiwa ni uvumilivu tu sio size ya mwili wako.
Baunsa akipigwa doso anaweza kulia kama mdada[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mwili umembeba tu hana uzoefu wwte, vyuma vyenyewe vya simenti ndo alikoanzia na kina zola D
Ohooo!!Ana fanana na Mganga au ni mtaalamu wa Ndumba
Duh!!!Watu wanaojidai wamepita mafunzo ya majeshi wanaringaga jaman.
Mnasahau kuwa mlienda huko baada ya kukosa raamani kitaa. Wengi wenu ni failures au basi hata kama ni ma graduates basi mlikosa mishe kitaa au mliogopa changamoto za ajira.
Ila mkishatokaga huko mnajiona sijui kama nyie ni watu gani. Kumbe si tunawahurumia tu
Doso[emoji116][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka jpo cijaelewa hyo doso ndo nn??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mweupe sana na hana lolote kuna bodigad wa dully alipewa promo humu baadae akaja gundulia analiwa kiboga eti walimuita ngumi jiwe huku anapumuliwa tz kwa mizaha
Ohooo!!Alipumuliwa sio kwa kupenda, sijui alifanya msala gani wahuni wakakusanyana wakamfanyia kitu mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkwala wa nanasi...nnje miiba mingii, ndani tamu balaa!
Ohooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mchumba tu kama walivyo wachumba wengine
Ohoooo!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Teheeee teehee nimemkumbuka Arafat Ngumi Jiwe yule baunsa wa Dully alitamba sana sasa si ndo akajichanganya ku-msodoma dogo kwa nguvu acha wana wa kitaa wamdandie nae akaliwa kiboga safiiii na ngumi kadhaa akachezea,sijui kapotelea wapi na wana mikwara hawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mikwala ya nyuma ya keyboardhuyo hawezi kusimama na mm kwa japo dk1.ntamuharibu mpaka mumkatae!!
Ohoooo!!Mwee!!!!! ashukuliwe ndomo kwakumpa ajira maana vinginevyo anacharacteristics zote za ujambazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiko cheti mbona kinasema ni mshiriki tu wa mieleka...huo ukomando kapewa na taasisi gani...hizi promo nyengine ndio mnawasababishia wenzenu kuliwa kiboga
Ohoooo!!!Kule Temeke kuna baunsa alikuwa anaitwa power dunda,siujua bado yupo maana alikuwa na mkwara ile mbaya na cha ajabu kumbe alikuwa analiwa...
Ohoooo!!Siku hizi ukomandoo limekuwa neno rahisi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kabisa. komandoo hamza kalala, komandoo salmin amur, komandoo lady jaydee, makomandoo wa yanga na simba.....
mweupe sana na hana lolote kuna bodigad wa dully alipewa promo humu baadae akaja gundulia analiwa kiboga eti walimuita ngumi jiwe huku anapumuliwa tz kwa mizaha
Yeah jamaa mmoja hivi alikuwa anaitwa Makene Ana mwili mkubwa.Hivi kumbe chidi benz nae alishawahi kuwaga na Mlinzi