PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mafunzo ya kijeshi sidhani labda atakua kapitia mafunzo ya kujihami dhidi ya adui bila kutumia silaha(self defence) hasa martial arts.
Alafu jeshini unaweza kua baunsa na bado ukatoroka kozi, kule unaambiwa ni uvumilivu tu sio size ya mwili wako.
Baunsa akipigwa doso anaweza kulia kama mdada[emoji23]