Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Mjue Bodigadi wa Diamond, kumbe ni 'Komandoo Kipensi'

Mafunzo ya kijeshi sidhani labda atakua kapitia mafunzo ya kujihami dhidi ya adui bila kutumia silaha(self defence) hasa martial arts.

Alafu jeshini unaweza kua baunsa na bado ukatoroka kozi, kule unaambiwa ni uvumilivu tu sio size ya mwili wako.

Baunsa akipigwa doso anaweza kulia kama mdada[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanaojidai wamepita mafunzo ya majeshi wanaringaga jaman.
Mnasahau kuwa mlienda huko baada ya kukosa raamani kitaa. Wengi wenu ni failures au basi hata kama ni ma graduates basi mlikosa mishe kitaa au mliogopa changamoto za ajira.

Ila mkishatokaga huko mnajiona sijui kama nyie ni watu gani. Kumbe si tunawahurumia tu
Duh!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka jpo cijaelewa hyo doso ndo nn??
Doso[emoji116]
f974bdf4413ee07f4ee451b5dbdd15cb.jpg
 
Teheeee teehee nimemkumbuka Arafat Ngumi Jiwe yule baunsa wa Dully alitamba sana sasa si ndo akajichanganya ku-msodoma dogo kwa nguvu acha wana wa kitaa wamdandie nae akaliwa kiboga safiiii na ngumi kadhaa akachezea,sijui kapotelea wapi na wana mikwara hawa.
Ohoooo!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
 
Hahahaaa ndo zao hizo!!
mweupe sana na hana lolote kuna bodigad wa dully alipewa promo humu baadae akaja gundulia analiwa kiboga eti walimuita ngumi jiwe huku anapumuliwa tz kwa mizaha
 
Nashangaa............sie tuna gymnasium yetu ndani ya nyumba yy Bado anatumia magunia!!!!! Wamaume kweli wanajulikana wakati wa shughuli yenyewe Sio kujushaua Kumbe huna lolote!
 
Hivi kumbe chidi benz nae alishawahi kuwaga na Mlinzi
Yeah jamaa mmoja hivi alikuwa anaitwa Makene Ana mwili mkubwa.

Itazame video ya Hao ile Mwasiti f.t Chid Beenz..sasa yule jamaa anaempokonya Camera yule Paparazzi ndio alikuwa mlinzi wa Rashidi.
 
Back
Top Bottom