Mjue gwiji wa sheria nchini Dkt. Lamwai

Wapo wanaomjua Dr Masumbuko kama Mhadhiri Mwandamizi wa Sheria na alifundisha na kuwawezesha wengi kuwa Wanasheria na Mawakili na wengine hadi wamefikia kuwa Majaji...
Hakika naona Kila mtu anamkanda Tu kwa mabaya wakati anamazuri mengi tu
 
ukweli ni kwamba, lamwai ni mtu aliyewafanya watu wengi sana wasomee sheria kutokana na umahiri wake, watu waliipenda sheria kwa kumwangalia yeye. hilo ameacha kama legacy.
Hakika
 
wewe umezaliwa juzi, ni manguli wachache sana walishawahi kutokea Tanzania waliomzidi Lamwai, hao siwajui. hata Tundu Lisu na wote uliowataja walijifunza na kupata moyo na uzoefu toka kwa Lamwai. huyu jamaa alikuwa noma.
Mkuu kama unawajua walipokuwa vizr kabla ya lamwai waweke wazi...

Mm ni wa kitambo mno
 
Ahsante Sana kwa kunijulisha mana nilikuwa namskia tu
 
Mkuu kama unawajua walipokuwa vizr kabla ya lamwai waweke wazi...

Mm ni wa kitambo mno
kabla ya Lamwai alikuwepo Shivji, alisumbua sana enzi za nyerere tangu enzi za kesi za kina Chandrakant waliokuwa wahindi wenzie, tangu enzi nyerere anataifisha hayo magorofa ya wahindi uhindini huko.
 
Acha uongo
 
Daah asee ahsante Sana hakika wewe mwamba
 
Hii history ina walakini mkubwa sana, history ya Dr Lamwai umekosea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…