Mjue gwiji wa sheria nchini Dkt. Lamwai

Hii history ina walakini mkubwa sana, history ya Dr Lamwai umekosea sana
Weka ambayo ipo sahihi mkuu

Tena nakusaidia kichwa cha uzi iwe hivi

"Marakebisho ya historia ya dkt lamwai"
 
Na Lakha naye alikuwa wakili mzuri sana Pascal Mayalla ashaandika humu JF habari yake
kuna mawakili kama Lamwai, watu walikuwa wakisikia tarehe atakayokuwepo mahakamani, wanaenda tu kumwangalia kujifunza hata anavyoargue tu, wanafunzi na mawakili wachanga tulikuwa tunaenda kujifunza anavyopangilia hoja na kupangua mashambulizi. alikuwa shule kabisa enzi zake, though alipokuja kuzeeka na mambo mengi ya sheria yakabadilika hakuwa na uwezo wa kujisomea mambo mapya vijana damu mbichi ambao ni digitali wakawa wanampiga sana za uso, yeye anakuja na mauzoefu na misimamo yake ile ya zamani,kijana anamsubiria tu amalize afu anaongea kidogo tu kwa misimamo ya sasa. hapo ndio tulikuwa tunamchakaza.

sheria ni dynamic alafu ukiwa mwanasheria wewe ni mwanafunzi, utasoma maisha yako yote. kuna misimamo ya sheria inabadilika kila kukicha, zamani walikuwa wanasoma hardcopy, digitali ikaja na electronic, sheria na kesi law tunapat aelectronic, tukasumbua sana wazee wasiopenda computer na wengi wakaamua kustaafu au kukimbilia kwenye vyuo kufundisha.
 
Exactly Kila kitu kinaenda na wakati....
 
Kasome tena historia ya Kabourou, alifukuzwa shule kwa kudaiwa kumtoboa macho ( picha) Nyerere siyo kuchana kadi.
 
Hebu nikumbushe yule waziri Malaya aliyeumbuliwa na Lamwai mahakamani alikua Nani?
 
Kuhusu Janabi? Ngoja tunyamaze. Alitumia taalam yake
 
Hao wote ni watu wa system, hawakuwepo upinzani kwa kuipinga serikali, walikuwepo kwa maslahi ya nchi.
 
Hao wote ni watu wa system, hawakuwepo upinzani kwa kuipinga serikali, walikuwepo kwa maslahi ya nchi.
ajuza una uwongo mwingi sana. lamwai kwahiyo alikuwa system hadi akafilisiwa na kunyang'anywa leseni ya kupractice kama fatuma karume vile? ulikuja kumwona wakati wa ustaafu wake namna alivyokuwa amechoka pale chuo kikuu cha tumaini? kama alikuwa kweney system kwanini walimfilisi.
 
Alijisahau kama alivyojisahau Mrema.

Wote system hao.

Wapinzani wa kweli walikuwa Mtikila na Malima.
 
Alijisahau kama alivyojisahau Mrema.

Wote system hao.

Wapinzani wa kweli walikuwa Mtikila na Malima.
kama hauelewi sana, mtikila ndio alikuwa system na alikuwa anapokea na mpunga kabisa. malima pia alikuwa system aliyetaka kupindua meza na udini ulimponza akakosa vyote.
 
kama hauelewi sana, mtikila ndio alikuwa system na alikuwa anapokea na mpunga kabisa. malima pia alikuwa system aliyetaka kupindua meza na udini ulimponza akakosa vyote.
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
 
Richard Hiza Tambwe alipohamia ccm akawa kitengo cha propaganda baada ya kugaragazwa na Khadija Kusaga wa ccm yeye akigombea kwa tiketi ya cuf jimbo la temeke lilokuwa lina amshaamsha nyingi za upinzani wa cuf
 
hivi alikuwa na watoto twenty ngapi? pesa na umaarufu ni shetani wa kwanza wa wanawake hakika.
Ana ndugu zake waliishi Arusha tangu miaka hiyo....warombo wa mwanzo mwanzo kuishi Arusha..Kina Tajiri Julius Lamai, Advert wa CRDB, Edward na wengine

Masumbuko alikuwa na uwezo mkubwa kiakili kipindi cha Mrema akiwa anawika miaka ya 90
 
Mabere Marando yuko wapi?
 
"ajuza una uwongo mwingi sana. lamwai kwahiyo alikuwa system hadi akafilisiwa na kunyang'anywa leseni ya kupractice"

Kwanini umuite mwenzako ajuza?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Richard Hiza Tambwe alipohamia ccm akawa kitengo cha propaganda baada ya kugaragazwa na Khadija Kusaga wa ccm yeye akigombea kwa tiketi ya cuf jimbo la temeke lilokuwa lina amshaamsha nyingi za upinzani wa cuf
Hakika ila ilikuwa kivumbi haikuwa rahis kumjua Nani atashinda kwa kipindi kile?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ana ndugu zake waliishi Arusha tangu miaka hiyo....warombo wa mwanzo mwanzo kuishi Arusha..Kina Tajiri Julius Lamai, Advert wa CRDB, Edward na wengine

Masumbuko alikuwa na uwezo mkubwa kiakili kipindi cha Mrema akiwa anawika miaka ya 90
Baada ya kuvagaa chama cha wala mbususu akili yote ikatoweka kwa mujibu wa FaizaFoxy

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…