KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.
Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road.
Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.