KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Kumbe wapare nao sio wamchezo
Wazo zuri.Hawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
JPM kashaenda zake, je mpango wake umeishia wapi?
Kukaa mjini bila hela nyumba mbovu kuna faida gani! Bora mtu achukue pesa akapasue pori huko uswekeni.Bora Yule Baba Alivyokataa
Unajua Kuwatoa Watu Mjini Siyo Vema Kabisa
Mhina Aende Zamahelo Dodoma Mapori Ya Miiba Tele Ataka Awatie Jambajamba Walio Mjini
WasambaaMhina ni majina ya Wazigua wa Tanga
Watu waongo Sana, unafikiria angeweza kumlipa bakhresa kwenye uwekezaji wake na wengineo watoke?View attachment 2547499
Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.
Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Read.
Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.
Maji ya bati hili uangukia Bati la jiraniAmalizie malipo! Maana pale watu wamebanana vibaya mno!