Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Uko nyuma sana! Mormons wako tz mda mrefu,wana chapels tatu DSM na Arusha pia wapo.im not sure maeneo mengine
 
Acha kudanganya watu,hakuna sare
 
Vipi ukiona jamii mmezinguana kidogo anakutolea chuma na kukuua!?
 
Dah aseee wanaume , mnajadili hustle za mwanamke ???? Dah aseeeee hiiii ni hatareeeeee







#men_down
 
Vipi ukiona jamii mmezinguana kidogo anakutolea chuma na kukuua!?
wapi huko ukizingua hiyo chuma inatoka au wewe ulishwahi kutolewa wapi hiyo chuma? Tembea kaka usiangalie vitu kwenye movie.

Hivi unajua Tanzania haipo kwenye top 50 ya nchi salama Duniani?

Ulishawahi kusikia nchi zinakosa wafungwa mpaka wanaomba wafungwa kutoka nchi nyingine?

Denmark, switzeland, Finland, Austria, Ireland etc
 
Mkuu mbona unaongea kama umekatwa kichwa.
Umetaja US kwenye mfano wako, US ukizinguana na mtu unabisha hakupigi chuma hata kwa kumpigia horn tu!?
 

Kufa ni wajibu,acha hofu za kishamba.
 
We mchanga sana kifikra,huko ulikotolea mfano hakuna wizi serikalini,hakuna ufisadi!?..kuwa na mafanikio ya kilahidi(material) siyo kistaarabika
 
Kweli kabisa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mchanga sana kifikra,huko ulikotolea mfano hakuna wizi serikalini,hakuna ufisadi!?..kuwa na mafanikio ya kilahidi(material) siyo kistaarabika
Haya wewe mkongwe kiakili kule kuna ufisadi kuliko huku, wanaiba mahela ya kununua ndege, wanasign mikataba hewa na wanakula rushwa kuliko huku! Ila ukienda ulaya usisahau kopo la kuchambia kule hamna, Case closed Gademit
 
Hwe mkongwe kiakili kule kuna ufisadi kuliko huku, wanaiba mahela ya kununua ndege, wanasign mikataba hewa na wanakula rushwa kuliko huku! Ila ukienda ulaya usisahau kopo la kuchambia kule hamna, Case closed Gademit
Hapa umedhihirisha kina Cha haja kubwa ndani ya fuvu lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…