Walimu wako walipata sana tabu. Soma vizuri basi maelezo yangu hapo juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jinsia gani
Kufa kufaanaSo sad .hakuna mtu aliyelua kama acd wa magu yaani ulaji ndio umeisha anarudi kambini
Bandiko zuri, lakini halijakamilika.Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli...
Una haraka gani wewe?? Si utulie uandike vizuri? Hebu ongeza nyama basi, historia ya maisha yake ni muhimu kuieleza kinaga ubaga.Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli...
Kuwa mpole mkuu. Kanali Bernard Paul Masala Mlunga(Sio Mlungwa) anapanda cheo muda sio mrefu na kuwa Brig General na atapelekwa kuwa Attaché katika ubaloziSo sad .hakuna mtu aliyelua kama acd wa magu yaani ulaji ndio umeisha anarudi kambini
Huenda ameangalia hiyo sura kwenye picha yake akashindwa kujua ni jinsia gani. Halafu Mkuu umekosa picha nyingine yenye hadhi ukaweka hiyo aliyopigia kwenye nyumba ya urithi? Hebu tazama kitasa cha huo mlango, na socket ya umeme hapo ukutani.
Bandiko zuri, lakini halijakamilika.
Tafadhali tuelezee elimu ya Col. Nyambura Mashauri na kazi alizowahi kufanya ndani ya JWTZ.
Col. Nyambura amependeza sana nyuma ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan.
Nakupa mwezi tu utaleta bandiko la huyo ADC akipewa kazi ya kwenda ubalozini nchi za ukanda wa scandnavia huko kama alivyopewa shavu la ukuu wa wilaya au mkoa nashani ADC wa kwanza wa Magufuli ambae alimpokea toka kwa JKHuenda ameangalia hiyo sura kwenye picha yake akashindwa kujua ni jinsia gani. Halafu Mkuu umekosa picha nyingine yenye hadhi ukaweka hiyo aliyopigia kwenye nyumba ya urithi? Hebu tazama kitasa cha huo mlango, na socket ya umeme hapo ukutani.
Nachoshukuru ni kwamba hata Ufipa mshalegea, wote mmehamia kwa mama Samia na sifa za kutosha mmempa.Anzeni kufunga virago MATAGA wote mrudi kwenu maana mjini kushakuwa kugumu
Una haraka gani wewe??.Si utulie uandike vizuri?,Hebu ongeza nyama basi, historia ya maisha yake ni muhimu kuieleza kinaga ubaga.
Asante kwa ufafanuziKuwa mpole mkuu. Kanali Bernard Paul Masala Mlunga(Sio Mlungwa) anapanda cheo muda sio mrefu na kuwa Brig General na atapelekwa kuwa Attaché katika ubalozi...
Ni mjitaHili jina Mashauri!
Linatia shaka,kama atakuwa anatoka kanda ileee,iliyokula bata sana,tangu 2015!!!
Si vyepesi kama unavyodhani legacy ya mzee itachukua muda kuiondoa pia number 1 nae alikuwa kwenye mfumo huo huo pia yeye ni mtu wa upande wa piliWata ng'oka wote hao sasa siyo zamu yao
Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Baada ya kula kiapo, Rais Samia Suluhu (Double S) tukamuona mpambe mpya nyuma ya Rais Samia, kinyume na ilivyozoeleka na wengi, mpambe akawa mwanamama.
Wengi hawamfahamu, mpambe huyu anaitwa Nyamburi Mashauri ambaye ni Kanali kutoka JWTZ na nimepenyezewa kuwa ni mtu makini sana kwenye utendaji wa kazi hivyo Rais wetu amepata msaidizi sahihi.
Kanali Nyamburi Mashauri anachukua nafasi ya Kanali Bernard Mlungwa ambaye alikuwa mpambe wa Hayati Rais Magufuli.
Nikutakie utendaji mzuri wa kazi Kanali Nyamburi Mashauri katika jukumu lako kubwa la kumsaidia Rais wetu mpendwa Samia Suluhu.
View attachment 1729549