Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha,hayo majina ni Mobutu aliyaanzisha,kuondoka majina ya kizungu na kuweka ya kibantuDuh! Sema majina ya kikongo na kisauzi yale ya Asili mi nayapenda sana.
Dah Aliona mbali asee….Ni Majna poa sana.Hahahaha,hayo majina ni Mobutu aliyaanzisha,kuondoka majina ya kizungu na kuweka ya kibantu
Hahahaha,yeah Yako poaDah Aliona mbali asee….Ni Majna poa sana.
Hahahaha,huyu bwana alikua mkatoliki safi na mtu muaminifu Kwa JKK kipindi Yuko Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi..kapishana mitazamo na Felix ,kaaamua kumleta uaasi..Felix asipokua mjanja anatoka hapoSasa hivi kaachia ndevu na kapaka na blich lake la Kicongo
Ongeza nyama Mkuu, leta habari zaidi kumhusu.Cornele Nangaa Yobeluo ,aliwahi kuwa Mkuu wa tume ya uchaguzi ya Congo , uchaguzi uliomuingiza Rais Felix Tshishekedi Tshilombo
Nangaa ambae Kwa Sasa ndio kiongozi wa muungano wa waasi ndio anayepeperusha Bendera ya waasi kuelekea Kinshasa
Nangaa na Felix walipishana mtazamo akaondolewa ktk nafasi hiyo Sasa anataka kwenda Kinshasa kumtoa Felix
Njia na mbinu anazotumia ni zile zile alizotumia Mzee Kabila Snr
Je, atafanikiwa ....
Nitarudi ...
Sawa Rafiki,ila kama Nangaa Yuko front hiyo vita ni ngumu Kwa Felix , maaana jamaa anajua ushindi wa Felix ktk uchaguzi Mkuu ,lkn pia Nanga ni mtu wa JKK na muumini safi wa Kanisa katoliki ambalo Kwa DRC Lina sauti ..Ongeza nyama Mkuu, leta habari zaidi kumhusu.
Unakumbuka kauli ya mrefu aliposema " kuna mtu hakuchaguliwa na Wananchi" umbea huo alipewa na Nangaa🤣🤣anajua ushindi wa Felix
Kwani Felix amefeli wapi?Sawa Rafiki,ila kama Nangaa Yuko front hiyo vita ni ngumu Kwa Felix , maaana jamaa anajua ushindi wa Felix ktk uchaguzi Mkuu ,lkn pia Nanga ni mtu wa JKK na muumini safi wa Kanisa katoliki ambalo Kwa DRC Lina sauti ..
Nina picha nilipiga nae kipindi amekuja Lubumbashi kutembelea waangalizi wa kujitolea nikiwa mmoja wapo
Ha hahahaha unajua Mimi sio muandishi mzuri ,ila Nina vitu navijua kuviandika vile inatakiwa ndio nashindwaOngeza nyama Mkuu, leta habari zaidi kumhusu.
Felix Kuna mapendekezo alipewa ayafanyie kazi nadhani kayaacha Yale kaja na yake...Kwani Felix amefeli wapi?
weka hio picha acha uongoSawa Rafiki,ila kama Nangaa Yuko front hiyo vita ni ngumu Kwa Felix , maaana jamaa anajua ushindi wa Felix ktk uchaguzi Mkuu ,lkn pia Nanga ni mtu wa JKK na muumini safi wa Kanisa katoliki ambalo Kwa DRC Lina sauti ..
Nina picha nilipiga nae kipindi amekuja Lubumbashi kutembelea waangalizi wa kujitolea nikiwa mmoja wapo
Sina mm ni muongowe
weka hio picha acha uongo
kakojoe ulale.Sina mm ni muongo
Ha hahahaha, umeona eeh ,na Nangaa ndio alikua Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi hivyo anajuaUnakumbuka kauli ya mrefu aliposema " kuna mtu hakuchaguliwa na Wananchi" umbea huo alipewa na Nangaa🤣🤣