Mjue Kwa ufupi Cornele Nangaa Yobeluo, Kiongozi wa waasi huko DRC

Status
Not open for further replies.

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
40,905
Reaction score
86,203
Cornele Nangaa Yobeluo ,aliwahi kuwa Mkuu wa tume ya uchaguzi ya Congo, uchaguzi uliomuingiza Rais Felix Tshishekedi Tshilombo

Nangaa ambae Kwa Sasa ndio kiongozi wa muungano wa waasi ndio anayepeperusha Bendera ya waasi kuelekea Kinshasa

Nangaa na Felix walipishana mtazamo akaondolewa ktk nafasi hiyo Sasa anataka kwenda Kinshasa kumtoa Felix

Njia na mbinu anazotumia ni zile zile alizotumia Mzee Kabila Snr

Je, atafanikiwa ....

CORNEILLE_NANGAA.jpg

Nitarudi ...
 
Cornele Nangaa Yobeluo ,aliwahi kuwa Mkuu wa tume ya uchaguzi ya Congo , uchaguzi uliomuingiza Rais Felix Tshishekedi Tshilombo

Nangaa ambae Kwa Sasa ndio kiongozi wa muungano wa waasi ndio anayepeperusha Bendera ya waasi kuelekea Kinshasa

Nangaa na Felix walipishana mtazamo akaondolewa ktk nafasi hiyo Sasa anataka kwenda Kinshasa kumtoa Felix

Njia na mbinu anazotumia ni zile zile alizotumia Mzee Kabila Snr

Je, atafanikiwa ....

Nitarudi ...
Ongeza nyama Mkuu, leta habari zaidi kumhusu.
 
Sawa Rafiki,ila kama Nangaa Yuko front hiyo vita ni ngumu Kwa Felix , maaana jamaa anajua ushindi wa Felix ktk uchaguzi Mkuu ,lkn pia Nanga ni mtu wa JKK na muumini safi wa Kanisa katoliki ambalo Kwa DRC Lina sauti ..

Nina picha nilipiga nae kipindi amekuja Lubumbashi kutembelea waangalizi wa kujitolea nikiwa mmoja wapo
 
Kwani Felix amefeli wapi?
 
Ongeza nyama Mkuu, leta habari zaidi kumhusu.
Ha hahahaha unajua Mimi sio muandishi mzuri ,ila Nina vitu navijua kuviandika vile inatakiwa ndio nashindwa

Ila tembea na hits hizi :
1.Nangaa baada ya kupishana mtazamo na Felix alienda kuishi Kenya Kwa muda

2.Rais Felix anakataa uwepo wa majeshi ya East Africa na kuchukua Sadc

3.Vikosi vya Kenya vinaondoka East Congo kupisha Samidrc

4.Goma wanaunda makundi ya kizalendo kuwakabili M23

5.M23 wanajibu mapigo Hadi Sasa tunachokiona
 
we
Sawa Rafiki,ila kama Nangaa Yuko front hiyo vita ni ngumu Kwa Felix , maaana jamaa anajua ushindi wa Felix ktk uchaguzi Mkuu ,lkn pia Nanga ni mtu wa JKK na muumini safi wa Kanisa katoliki ambalo Kwa DRC Lina sauti ..

Nina picha nilipiga nae kipindi amekuja Lubumbashi kutembelea waangalizi wa kujitolea nikiwa mmoja wapo
weka hio picha acha uongo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom