na RageMkuu ukisema hivyo waanze na Kinana na Bashe ila Maafsaa wetu waache Kupiga risasi Upinzani wajikite kwenye mambo kama haya.
Ndiyo....ila sababu nishaijua nkitaja ntachafua Hali ya hewa humu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile ni kama ghost twnHahahaa Dada wa TAIFA alishawahi kuyapost hayo MAJUMBA kipindi ROMA Alivyotekwa.
Abdiweli Mohamed Ali Gaas, also known as Abdiweli Gaas, is a Somali American economist, professor and politician. He served as the Prime Minister of Somalia from June 2011 to October 2012, and briefly afterwards as an MP in the newly formed Federal Parliament. WikipediaView attachment 997026
Huyu jamaa anafedha kweli kweli ana na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la kutupwa.
Hapa Tanzania amewekeza kwenye Biashara za Matair,huko Zambia amewekeza kwenye usafirishaji Uganda amewekeza kwenye Vituo vya mafuta.
Kenya wamemshtukia siku nyingi.
View attachment 997106
Mtaalam wake wa mambo ya Vilipuzi na Mpelelezi wake mkuu ni huyu Mohammed Harshi.
Huyu jamaa husimamia na kufuatulia misheni zote ili kwamba ahakikishe maximum demage imefanyika.
Sijaingia hkoacha mambo ya nidiu
ila chama ndio kina maendeleoKwani we unafikiria hata hio payroll ya mashababi inatokea nchi gani?
Maendeleo hayana chama
Hata mabomu, risasi yana serial numbers kwa nini wasifuatilia ziliponunuliwa???Ila kitu ninachojiulizaga kila siku inakuaje hawa jamaa wanapata silaha maana tunajua silaha wanatengeza hao hao wazungu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukiwekewa CV za Viongozi wa ISIS si ndio utashangaa.Abdiweli Mohamed Ali Gaas, also known as Abdiweli Gaas, is a Somali American economist, professor and politician. He served as the Prime Minister of Somalia from June 2011 to October 2012, and briefly afterwards as an MP in the newly formed Federal Parliament. Wikipedia
Education: Harvard Law School, Somali National University, Harvard Kennedy School, more
Previous offices: President of Puntland (2014–2019)
umeona eeeh huenda mabeberu wanatuchezeaHata mabomu, risasi yana serial numbers kwa nini wasifuatilia ziliponunuliwa???
Chanzo ni chama cha kiislam kiliposhinda uchaguzi kihalali kama ilivyotokea algeria na misri,mataifa ya nje yakakataa na kuleta fujo katika nchi husika.Binadam huwa hatupendi kukumbuka mambo ambayo yana ukakasi. Inawezekana pengine ndiyo hulka yetu.
Hivi sasa tunawazungumzia sana Al Shabaab lakini hatuzungumzi chanzo cha uwepo wao.
Hivi ilikuwaje nchi kama Somalia ambayo ilikuwa inaendesha mambo yake kufuata demokrasia inayoambatana mila na desturi zao?
Ni kweli kuwa wanayoyafanya Al Shabaab[ Vijana wa shoka] hayapendezi ,hayafai na siyo ya kibinadam kabisa. Lakini, chanzo cha haya yote ni kitu gani???.
Nadhani namna bora ya kuelewa hali hii ya kiwenda wazimu ni kuchambua chanzo halisi cha aibu hii.
We unataka mmarekani,mrusi na Israel China wakale wapi
Serikali ya somalia wanawajibika kutunza silaha zao.Zinatoka kwenye Serikali ya Somalia.
Urusi,marekani etcSerikali ya somalia wanawajibika kutunza silaha zao.
Waasi wa DRC Rwanda Yemen Burundi silaha zinatoka wapi?
We Unaonekana kabisa sio mzalendo yaani hauna tofauti na mabeberu.ila chama ndio kina maendeleo
Hii Dunia haiwezi kutuliaaaaSerikali ya somalia wanawajibika kutunza silaha zao.
Waasi wa DRC Rwanda Yemen Burundi silaha zinatoka wapi?