Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Hahahaa Dada wa TAIFA alishawahi kuyapost hayo MAJUMBA kipindi ROMA Alivyotekwa.
Zile ni kama ghost twn
Nishaingia mule yamekaa tu...
Lile eneo ni kama jangwani
Kabla ya nyumba zile kna mzungu naye alikuwa na kijumba chke pembeni
Ukipita utaiona kna skrepa Gari pia
Mvua ilipiga nyumba ikazungukwa na maji
Alitoka hpo aliaacha kila kitu....
Huyo aliyewauzia wasonjo eneo hilo kiboko[emoji23] [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 997026
Huyu jamaa anafedha kweli kweli ana na amewekeza Kuanzia TanzaniaZambia na Malawi yeye ndio kwa mujibu wa Intelijensia anafadhili Al Shabaab popote pale Duniani
Mujahidi Abdwali Gaas billionia la kutupwa.
Hapa Tanzania amewekeza kwenye Biashara za Matair,huko Zambia amewekeza kwenye usafirishaji Uganda amewekeza kwenye Vituo vya mafuta.
Kenya wamemshtukia siku nyingi.
View attachment 997106
Mtaalam wake wa mambo ya Vilipuzi na Mpelelezi wake mkuu ni huyu Mohammed Harshi.
Huyu jamaa husimamia na kufuatulia misheni zote ili kwamba ahakikishe maximum demage imefanyika.
Abdiweli Mohamed Ali Gaas, also known as Abdiweli Gaas, is a Somali American economist, professor and politician. He served as the Prime Minister of Somalia from June 2011 to October 2012, and briefly afterwards as an MP in the newly formed Federal Parliament. Wikipedia
Education: Harvard Law School, Somali National University, Harvard Kennedy School, more
Previous offices: President of Puntland (2014–2019)
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Abdiweli Mohamed Ali Gaas, also known as Abdiweli Gaas, is a Somali American economist, professor and politician. He served as the Prime Minister of Somalia from June 2011 to October 2012, and briefly afterwards as an MP in the newly formed Federal Parliament. Wikipedia
Education: Harvard Law School, Somali National University, Harvard Kennedy School, more
Previous offices: President of Puntland (2014–2019)
Sasa ukiwekewa CV za Viongozi wa ISIS si ndio utashangaa.
 
Binadam huwa hatupendi kukumbuka mambo ambayo yana ukakasi. Inawezekana pengine ndiyo hulka yetu.
Hivi sasa tunawazungumzia sana Al Shabaab lakini hatuzungumzi chanzo cha uwepo wao.
Hivi ilikuwaje nchi kama Somalia ambayo ilikuwa inaendesha mambo yake kufuata demokrasia inayoambatana mila na desturi zao?
Ni kweli kuwa wanayoyafanya Al Shabaab[ Vijana wa shoka] hayapendezi ,hayafai na siyo ya kibinadam kabisa. Lakini, chanzo cha haya yote ni kitu gani???.
Nadhani namna bora ya kuelewa hali hii ya kiwenda wazimu ni kuchambua chanzo halisi cha aibu hii.
Chanzo ni chama cha kiislam kiliposhinda uchaguzi kihalali kama ilivyotokea algeria na misri,mataifa ya nje yakakataa na kuleta fujo katika nchi husika.
Matokeo yake ndiyo haya mpaka leo vurugu tupu
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hakuna muisilamu wa leo atakayekubali Islamic Sharia labda kwa vitisho na mauwaji.
 
ila chama ndio kina maendeleo
We Unaonekana kabisa sio mzalendo yaani hauna tofauti na mabeberu.
Kama unabisha nyoosha kidole au Jifanye kama unajikuna.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom