Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Kwa hio Hornet na wewe unaunga mkono juhudi?

Maendeleo hayana chama

Hapana hata kidogo

Hao jamaa nawaona waoga waoga sana
Kwa nini wasimface Trump kama kweli wanajiweza!

Watuachie waKenya wetu.
 
Hapana hata kidogo

Hao jamaa nawaona waoga waoga sana
Kwa nini wasimface Trump kama kweli wanajiweza!

Watuachie waKenya wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyosema huo ni mwanzo tu, nikajua na wewe pia ni mzalendo unaunga mkono juhudi si unajua mashababi wao wanawachukulia wakenya kua ni mabeberu, hivyo na wao pia wapo katika vita vya uchumi.

Maendeleo hayana chama
 

Naona mambo ni mengi
Ila wawapymzishe waKenya jamani.
 
Kuna kipindi Trump alivyotoa ile executive order ya waislam kutoingia USA watu walipiga kelele wee,kumbe jamaa wanajua wakijaa nini kitafuata.Halafu najiuliza kwa nini wanakimbilia nchi za makafiri why not Saudi Arabia,qatal,UAE?
 
Naona mambo ni mengi
Ila wawapymzishe waKenya jamani.
Hii vita ya kiuchumi ni mbaya sana kwa kweli
Sasa hivi wakenya wanaogopa hata kuingia mall kwa sababu ya hawa mamburura wasiojulikana lini watakinukisha.
Ila safari hii kidhati kabisa nalipongeza jeshi la Kenya kwa kufanya kazi iliyotukuka.
Naimani kabisa tukio kama hili linaweza lisijirudie tena maana salamu zitakua zimewafikia magaidi.

Maendeleo hayana chama
 
Sijui nini cha kusema lakini kuna haja ya kuwa na suluhisho kwa haya yote..Hata kwa wale ambao wamepata mateso kutokana na jambo hili.
 
Sijui nini cha kusema lakini kuna haja ya kuwa na suluhisho kwa haya yote..Hata kwa wale ambao wamepata mateso kutokana na jambo hili.
Wewe pika ugali wako kula fikiria zaidi siasa za ndani jinsi ya Kumng'oa Magu pale Ufukweni..haya mambo watu wanajuana.
 
Yaaaaa ndora Zambia wameja wanamahoteli makubwa kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine wanauza computer wanapitisha magendo hapo kkoò hatari, kuna mawarehouse wanafaulisha mizigo wanaweka kweńýe school bus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…