severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Sikuyaona asee unaweza yarusha hapa kama unaweza yapata?Hahahaa Dada wa TAIFA alishawahi kuyapost hayo MAJUMBA kipindi ROMA Alivyotekwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuyaona asee unaweza yarusha hapa kama unaweza yapata?Hahahaa Dada wa TAIFA alishawahi kuyapost hayo MAJUMBA kipindi ROMA Alivyotekwa.
Kwa hio Hornet na wewe unaunga mkono juhudi?
Maendeleo hayana chama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana hata kidogo
Hao jamaa nawaona waoga waoga sana
Kwa nini wasimface Trump kama kweli wanajiweza!
Watuachie waKenya wetu.
Haya mambo magumu sana, naomba niishie hapo tu.Inasemekana hotel ni ya mwisrael na Alshabab inapingina na kite ndo cha Trump kukabidhi Jerusalem kwa Israel
Hivyo huo ni mwanzo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyosema huo ni mwanzo tu, nikajua na wewe pia ni mzalendo unaunga mkono juhudi si unajua mashababi wao wanawachukulia wakenya kua ni mabeberu, hivyo na wao pia wapo katika vita vya uchumi.
Maendeleo hayana chama
Hii vita ya kiuchumi ni mbaya sana kwa kweliNaona mambo ni mengi
Ila wawapymzishe waKenya jamani.
View attachment 997080
Hivi na hili bado lipo hai au wa Kenya ama wamarekani walishapasua kichwa chake na kumuwahisha moja kwa moja FIRDAUS Kwenda kuwashugulikia wale mabikira? maana siku hizi yale mavideo yake ya kijinga siyaoni mtandaoni
Mmhhh Dada wa taifa aliyaweka kwa mie siwezi kuyapata maana sipo DSM.Sikuyaona asee unaweza yarusha hapa kama unaweza yapata?
Wewe pika ugali wako kula fikiria zaidi siasa za ndani jinsi ya Kumng'oa Magu pale Ufukweni..haya mambo watu wanajuana.Sijui nini cha kusema lakini kuna haja ya kuwa na suluhisho kwa haya yote..Hata kwa wale ambao wamepata mateso kutokana na jambo hili.
Yaaaaa ndora Zambia wameja wanamahoteli makubwa kubwaHizi sehemu za wasomali zichunguzwe
Nmeona zambia ndola na kabwe kna wasonjo wengi Wana miradi
Kenya isli ndy usiseme pale kama mko Mogadishu
Kko dar Somali street kuna wasomali kibao wengine hata lugha hawajui ni Sawa na kama kaingia dar tz juzi tu
Utakuta hpo kna lijitu linajifanya lina mradi
Kmbe na pia anachezesha mipango ya alshabab
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipatie video ya wakristo wakiuana na kupigana Tanzania,mimi ntakupatia video ya violence za waislamu katika kila taifa lenye waislamu,naanza na Kenya tu hapo
Wengine wanauza computer wanapitisha magendo hapo kkoò hatari, kuna mawarehouse wanafaulisha mizigo wanaweka kweńýe school busHizi sehemu za wasomali zichunguzwe
Nmeona zambia ndola na kabwe kna wasonjo wengi Wana miradi
Kenya isli ndy usiseme pale kama mko Mogadishu
Kko dar Somali street kuna wasomali kibao wengine hata lugha hawajui ni Sawa na kama kaingia dar tz juzi tu
Utakuta hpo kna lijitu linajifanya lina mradi
Kmbe na pia anachezesha mipango ya alshabab
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app