Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Kwa hio Hornet na wewe unaunga mkono juhudi?

Maendeleo hayana chama

Hapana hata kidogo

Hao jamaa nawaona waoga waoga sana
Kwa nini wasimface Trump kama kweli wanajiweza!

Watuachie waKenya wetu.
 
Hapana hata kidogo

Hao jamaa nawaona waoga waoga sana
Kwa nini wasimface Trump kama kweli wanajiweza!

Watuachie waKenya wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyosema huo ni mwanzo tu, nikajua na wewe pia ni mzalendo unaunga mkono juhudi si unajua mashababi wao wanawachukulia wakenya kua ni mabeberu, hivyo na wao pia wapo katika vita vya uchumi.

Naona mambo ni mengi
Ila wawapymzishe waKenya jamani.
 
Kuna kipindi Trump alivyotoa ile executive order ya waislam kutoingia USA watu walipiga kelele wee,kumbe jamaa wanajua wakijaa nini kitafuata.Halafu najiuliza kwa nini wanakimbilia nchi za makafiri why not Saudi Arabia,qatal,UAE?
 
Naona mambo ni mengi
Ila wawapymzishe waKenya jamani.
Hii vita ya kiuchumi ni mbaya sana kwa kweli
Sasa hivi wakenya wanaogopa hata kuingia mall kwa sababu ya hawa mamburura wasiojulikana lini watakinukisha.
Ila safari hii kidhati kabisa nalipongeza jeshi la Kenya kwa kufanya kazi iliyotukuka.
Naimani kabisa tukio kama hili linaweza lisijirudie tena maana salamu zitakua zimewafikia magaidi.

Maendeleo hayana chama
 
Sijui nini cha kusema lakini kuna haja ya kuwa na suluhisho kwa haya yote..Hata kwa wale ambao wamepata mateso kutokana na jambo hili.
 
Sijui nini cha kusema lakini kuna haja ya kuwa na suluhisho kwa haya yote..Hata kwa wale ambao wamepata mateso kutokana na jambo hili.
Wewe pika ugali wako kula fikiria zaidi siasa za ndani jinsi ya Kumng'oa Magu pale Ufukweni..haya mambo watu wanajuana.
 
Hizi sehemu za wasomali zichunguzwe
Nmeona zambia ndola na kabwe kna wasonjo wengi Wana miradi
Kenya isli ndy usiseme pale kama mko Mogadishu
Kko dar Somali street kuna wasomali kibao wengine hata lugha hawajui ni Sawa na kama kaingia dar tz juzi tu
Utakuta hpo kna lijitu linajifanya lina mradi
Kmbe na pia anachezesha mipango ya alshabab

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaaaa ndora Zambia wameja wanamahoteli makubwa kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi sehemu za wasomali zichunguzwe
Nmeona zambia ndola na kabwe kna wasonjo wengi Wana miradi
Kenya isli ndy usiseme pale kama mko Mogadishu
Kko dar Somali street kuna wasomali kibao wengine hata lugha hawajui ni Sawa na kama kaingia dar tz juzi tu
Utakuta hpo kna lijitu linajifanya lina mradi
Kmbe na pia anachezesha mipango ya alshabab

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wanauza computer wanapitisha magendo hapo kkoò hatari, kuna mawarehouse wanafaulisha mizigo wanaweka kweńýe school bus
 
Back
Top Bottom