Kama kweli mgombea mwenza ni darasa la saba, basi chadema hawako serious. Yaani hata "NJUKA" hajafika na anataka awe makamu wa rais wa nchi yangu? Mungu epushia mbali pepo hizi. Ashindwe na anyong'onyee kama mchuzi wa bamia changa!!
Tembelea hapa
Said Mzee MZEE - Tanzania | LinkedIn
Kwani nisipojua nitapungukiwa na nini.Wala hujui ninacho kipigania, pole sana!
Hulazimishwi na mtu kuchagua std7 una uhuru wakuchagua tumeelewana, kama wewe na akili zako unafikiri kaishia std7 halafu akakaa kuuza mafenesi bakia na hilo sina zaidi.Quinine naomba utuweke sawa. Hio LinkedIN name ulotaja na Jina linalotaja la Mgombea mwenza ni tofauti. uliemtaja anaitwa Said Mzee Mzee na Mgombea Mwenza ni Said S. Mzee au Said Mzee Said...sijui kipi kinaanza...
Muhim mtuweke Sawa kama kweli Std 7 au hapana?....Otherwise tutashawishika na Mleta Mada kuwa Chadema wamekurupuka au wamekurupushwa...
Quinine naomba utuweke sawa. Hio LinkedIN name ulotaja na Jina linalotaja la Mgombea mwenza ni tofauti. uliemtaja anaitwa Said Mzee Mzee na Mgombea Mwenza ni Said S. Mzee au Said Mzee Said...sijui kipi kinaanza...
Muhim mtuweke Sawa kama kweli Std 7 au hapana?....Otherwise tutashawishika na Mleta Mada kuwa Chadema wamekurupuka au wamekurupushwa...
Hulazimishwi na mtu kuchagua std7 una uhuru wakuchagua tumeelewana, kama wewe na akili zako unafikiri kaishia std7 halafu akakaa kuuza mafenesi bakia na hilo sina zaidi.
Eti wanaccm wanataka kushawishika. story inaanza na mujahidina kanda2, kabla jogoo hajawika mara tatu, ndugu yake aitwaye chuma anakuja kuuliza akitumia wingi (tu) kuwa anataka ashawishiwe?!
Kaka hii ni very Low...Leta facts za Elimu ya Mgombea Mwenza, huu mjadala utakwisha mara moja, otherwise unajiongezea posts zisizo na Msingi...na unakifanya Kijiwe cha JF kisiwe na maana ya Msingi iliyokusudiwa.
Ndugu yako Kanda2 ameanzisha mada kuwa mgombea mwenza ana elimu ya msingi. Amejibiwa tayari hapo juu na kisha wewe unakufa muda baadaye kutaka facts zaidi. Kama sio kutaka kugeuza JF kuwa kijijwe cha kahawa, ni nini nia yako?
Kajibiwa wapi? hebu tueleze wapi kajibiwa? majibu yaliyotoka yana walakini...unataka watu wasiulize tena? au mtu akishatoa Majibu ambayo si SAHIHI watu waache kuuliza?
Kama unapoteza muda si uondoke.This is not proffessional answer...sio kufikiri kwangu..zimeletwa data na Kanda2...tupe data za Kukanusha. hatubishani hapa ili kupoteza Muda.
Quinine naomba utuweke sawa. Hio LinkedIN name ulotaja na Jina linalotaja la Mgombea mwenza ni tofauti. uliemtaja anaitwa Said Mzee Mzee na Mgombea Mwenza ni Said S. Mzee au Said Mzee Said...sijui kipi kinaanza...
Muhim mtuweke Sawa kama kweli Std 7 au hapana?....Otherwise tutashawishika na Mleta Mada kuwa Chadema wamekurupuka au wamekurupushwa...
Chadema chama cha vihiyo;
M/Kiti Mbowe, kihiyo
Katibu Canoon law
Naibu M/kiti Sd7
Kweli tuwaachie nchi hawa vihiyo ????