Elections 2010 Mjue mgombea mwenza wa CHADEMA

Kama kweli mgombea mwenza ni darasa la saba, basi chadema hawako serious. Yaani hata "NJUKA" hajafika na anataka awe makamu wa rais wa nchi yangu? Mungu epushia mbali pepo hizi. Ashindwe na anyong'onyee kama mchuzi wa bamia changa!!

Sio kweli,

Una lingine lolote toka huko ufisadiville?
 
Tembelea hapa

Said Mzee MZEE - Tanzania | LinkedIn

08_10_177eaa.jpg

Quinine naomba utuweke sawa. Hio LinkedIN name ulotaja na Jina linalotaja la Mgombea mwenza ni tofauti. uliemtaja anaitwa Said Mzee Mzee na Mgombea Mwenza ni Said S. Mzee au Said Mzee Said...sijui kipi kinaanza...

Muhim mtuweke Sawa kama kweli Std 7 au hapana?....Otherwise tutashawishika na Mleta Mada kuwa Chadema wamekurupuka au wamekurupushwa...
 
Hulazimishwi na mtu kuchagua std7 una uhuru wakuchagua tumeelewana, kama wewe na akili zako unafikiri kaishia std7 halafu akakaa kuuza mafenesi bakia na hilo sina zaidi.
 
Eti wanaccm wanataka kushawishika. story inaanza na mujahidina kanda2, kabla jogoo hajawika mara tatu, ndugu yake aitwaye chuma anakuja kuuliza akitumia wingi (tu) kuwa anataka ashawishiwe?!
 
This is not proffessional answer...sio kufikiri kwangu..zimeletwa data na Kanda2...tupe data za Kukanusha. hatubishani hapa ili kupoteza Muda.
 
Kaka hii ni very Low...Leta facts za Elimu ya Mgombea Mwenza, huu mjadala utakwisha mara moja, otherwise unajiongezea posts zisizo na Msingi...na unakifanya Kijiwe cha JF kisiwe na maana ya Msingi iliyokusudiwa.
 
Ndugu yako Kanda2 ameanzisha mada kuwa mgombea mwenza ana elimu ya msingi. Amejibiwa tayari hapo juu na kisha wewe unakufa muda baadaye kutaka facts zaidi. Kama sio kutaka kugeuza JF kuwa kijijwe cha kahawa, ni nini nia yako?
 
Kajibiwa wapi? hebu tueleze wapi kajibiwa? majibu yaliyotoka yana walakini...unataka watu wasiulize tena? au mtu akishatoa Majibu ambayo si SAHIHI watu waache kuuliza?
 
Unataka kujilipua sasa! Povu na mate vyanini Kijana?
 
This is not proffessional answer...sio kufikiri kwangu..zimeletwa data na Kanda2...tupe data za Kukanusha. hatubishani hapa ili kupoteza Muda.
Kama unapoteza muda si uondoke.
 
Chadema hapo wamedhihirisha kuwa wao hawana tafauti na CCM ya akina Dr.Mkwere, Dokta Manyaunyau, sijui maji marefu..Its really absurd jinsi taifa linapoelekea.
 
Quinine naomba utuweke sawa. Hio LinkedIN name ulotaja na Jina linalotaja la Mgombea mwenza ni tofauti. uliemtaja anaitwa Said Mzee Mzee na Mgombea Mwenza ni Said S. Mzee au Said Mzee Said...sijui kipi kinaanza...

Muhim mtuweke Sawa kama kweli Std 7 au hapana?....Otherwise tutashawishika na Mleta Mada kuwa Chadema wamekurupuka au wamekurupushwa...

Hawana jipya hao wanachakachua mpaka qualification za mtu mwingine na kumpachika mgombea mwenza wao.

Chadema ovyo bure ya ghali!
 
Ndo kusema chadema haikubaliki Zanzibar hadi kulazimika kuchukua mgombea aliyemaliza std 7 au?
 
chadema wameshindwa kusoma historia ya TZ. hawawezi kupata mtu znz bila kuungana na chama chenye nguvu znz... na cuf vilevile haitaweza kamwe kushinda uchaguzi tz isipoungana na chama chenye nguvy bara...na hivyo basi wote chadema na cuf wasahao mapemauwezekano wa kushinda uchaguzi ndani ya tz.....
 
Kwani huyo Chenge mwenye digrii ya sheria ametusaidia nini watanzania. Licha ya kutuibia mapesa kibao, akiwa Mwanasheria Mkuu ni yeye aliyepeleka muswada wa marekebisho ya Katiba na kufanya ili Mtanzania agombee nafasi yaoye ya uongozi ni lazima apitie katika chama cha siasa. Kitu ambacho ni kinyume na haki za binadamu. Si heri asingesoma kabisa!!!!!!

Tanzania hii yeney vihiyo kibao tunahitaji watu wenye ujasiri wa kutangaza elimu yao japo ndogo; kuliko wenye kuiba mitihani na kuwa wahandasi lakini wakashindwa kutupatia tiba ya misurusuru ya magari kama iliyopo jijini Dar. Haya ni matokeo ya digrii feki, na zipo nyingi tu.
 
Hivi machifu wale waliosimamia ugawaji wa mashamba bila malalamiko yoyote walisoma mpaka darasa la ngapi. Raisi au Makamu wa Raisi ni kazi ya kitaaluma au kutumia hekima na busara zaidi?
 
Chadema chama cha vihiyo;

M/Kiti Mbowe, kihiyo

Katibu Canoon law

Naibu M/kiti Sd7

Kweli tuwaachie nchi hawa vihiyo ????
 
Hivi Nyerere alipoanza kazi ya siasa ALIKUWA NA UZOEFU GANI? Alipomkabidhi uwaziri mkuu marehemu KAWAWA, naye KAWAWA alikuwa na uzoefu gani?

Kuna watu wenye uwezo - WA KUZALIWA - wa kuongoza, na ambao hawana uwezo huo. Usitathmini kitabu kwa jarida lake, soma kwanza kitabu. Kuna matajiri wa kutupwa wenye elimu ya Darasa la Saba, na kuna mambumbumbu pia, wenye PhD!
 
Back
Top Bottom