Mjue mmiliki halali wa Wasafi Tv

Darasa zuri,lakini ungetoa somokama lilivyo bila kuhusisha wasafi tv .. ungeeleweka vizuri zaidi kwasababu tungeelekeza fikra namna shereholder % inavyokuwa na nguvu kwenye kampuni.

Kumuhusisha diamond imefanya somo lako lionekane kama unafiki ,lengo likiwa kutuonyesha diamond sio mmiliki wa wasafi,na sio kuelimisha hayo mambo ya shere.
Ndio maana baadhi wamechangia kwa povu.
 
Hili nalo ni somo jengine.
Humohumo kwenye corporate governance.

Mwanzilishi anaweza amua kuuza asilimia kubwaa ya hisa zake ila asiiuze ile majority vote right yake.

Kama wanahisa wotee wapo below 50% Basi yule mwenye high % ndio huwa major shareholder.

Haya ndio yanayoendelea kwa FB na AMAZON.

#YNWA
 
Punguza hasira..
Ingia google download CORPORATE GOVERNANCE BOOKS vitakusaidia uelewa.

#YNWA
DUH!!

Hasira usiwe nazo wewe unayemchukia mwenye nacho japo kidogo nichukie mimi nayefurahia mafanikio madogo ya huyo unayemchukia,tena asiyekuwa na shule ila amejaliwa akili na liquidity ya kutosha?
 
I know all usijali.
Am financial analyst

Unajua maana ya MAJORITY SHAREHOLDER?

FB inamilikiwa na wengi ila Mark Z. ndio anaongelewa sanaa.
AMAZON inamilikiwa na wengi ila JACK M. ndio figure.

Thats corporate governance.

#YNWA
 
Irrevant answers contrally to my question
Refer to your answer
"Siteseki na chochotee"
Nimejaribu kuleta corporate governance education.
Kama ni shabiki wa WCB na nimekukwaza.

Am sorry madam..

#YNWA
 
Kufikiria ni bure huwezi lazimisha raia wafikirie utakavyo.

#YNWA
 
Upo sahihi kwa asilimia 💯
 
Facts muruwa kabisa.

Mwenye facts za kupinga hizi azilete basi badala ya mipasho na tambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…