jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Pierre kabobea kwenye Ilmu dunia.watu na elimu zetu hata Kenya hatupati visa... pieree anaelekea Dallas , Texas next week
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pierre kabobea kwenye Ilmu dunia.watu na elimu zetu hata Kenya hatupati visa... pieree anaelekea Dallas , Texas next week
Kule kenya alihojiwa akasema anaitwa pierre gumbo ilo jina la mwisho ni la mmiliki wa iyo baa ya liquorKonki Liquid. Pierre. Mama nakufa. Chii. Ni utambulisho wa mwanamume aliyeishika mitandao ya kijamii wakati huu.
Huyu ni Peter Mollel aliyejizolea umaarufu baada ya video iliyomuonyesha akisema “mama nakufa” kuzagaa mitandaoni mwishoni mwa mwaka jana.
Leo Machi 13, 2019 ametembelea ofisi za kampuni ya Mwananchi na kufunguka mengi kuhusu maisha, umaarufu na mipango yake ya baadaye.
Pamoja na wengi kumfahamu kwa video hizo zinazomuonyesha akiwa kwenye vilabu vya usiku na baa, Pierre anasema yeye si mlevi kama wengi wanavyomtambua.
“Kuna mtu aliandika katika mitandao ya kijamii akisema mimi ni mlevi wa taifa, hilo halina ukweli wowote kwa kuwa nina shughuli zangu na huwa nakunywa baada ya mambo mengine, angeniita mnywaji angepatia,” amesema Pierre huku akitabasamu.
“Mimi kama hamjui nina ofisi ya kuuza samani pale Keko na sofa moja nauza kuanzia Sh3 milioni, meza Sh1.2 milioni . Umaarufu pia umeniongezea chanzo kingine cha mapato. Katika shoo moja nalipwa hadi Sh3 milioni kwa usiku mmoja,” amesema Pierre.
Alipoulizwa kuhusu familia, Pierre mwenye umri wa miaka 42 amesema hajaoa na hana mtoto na kueleza kwamba katika suala la ndoa hataki kukurupuka na kuja kujutia baadaye.
Wakati kwa upande wa ratiba yake ya kila siku, amesema huwa mara nyingi analala saa tisa usiku na kuamka saa nne asubuhi na jambo la kwanza analofanya ni kusali kwani anaamini Mungu ndio kila kitu pamoja na kwamba kwake starehe ni kila siku.View attachment 1044853
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapuya kaoa ana miaka mingapiHataki kuoa kwa kukurupuka asije akajuta badae..
Hyo badae ni ipi? yan @42 still kuna badae
Sent using iPhone XS Max
Jamani!!Eti huyo naye 'celebrity'. Tanzania tunapenda kutoa coverage kwa vitu vya kupuuzi kweli.
Eti huyo naye 'celebrity'. Tanzania tunapenda kutoa coverage kwa vitu vya kupuuzi kweli.
Heeeee kumbe alikuwepo muleHalafu huyo piere ana bahati sna muacheni atusue tu alishaanguka na ghorofa keko kutoka ghorofa ya 5 kashuka nalo mpaka chini na hakuchunika hotel ilikuwa inaitwa chang'ombe village wala hajaruka alikuwa floor ya juu kabisa.
Osha makalio ulale. Huna lolote unalojua.Acha wivu bwege wewe nawe tafuta mbinu utoboe mjini shule, shamba kilimo ukija mjini na jembe utalima lami
Basi tuseme wewe ndio Celebrity , nadhani umepata rahaEti huyo naye 'celebrity'. Tanzania tunapenda kutoa coverage kwa vitu vya kupuuzi kweli.
Uharibu sana jamii.
Sina muda wa kusaka umaarufu wa kipumbavu.Basi tuseme wewe ndio Celebrity , nadhani umepata raha
Sent from my iPhone using Tapatalk
Anza kuchekesha mkuuwatu na elimu zetu hata Kenya hatupati visa... pieree anaelekea Dallas , Texas next week