Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

Fala wewe wewe unajua Nini marioo wewe wivu was kingese unaleta jf utakuwa na genes za kike ngoja tukutafutie kungwi ufundwe mamaae zako
Tatizo lako unaishi kwenye kizazi cha kipuuzi ambacho kinaamini katika ujinga na upuuzi.

Si ajabu mama yako anaweza kusaliti hata mzee wako kisa huyo mbuzi unaemtukuza na ujinga wake.
 
Eti huyo naye 'celebrity'. Tanzania tunapenda kutoa coverage kwa vitu vya kupuuzi kweli.
Kweli kabisa mkuu haina tofauti baadhi yetu kumshabikia lissu kwa upuuzi wa kuchafua kwa makusudi taifa lake au vijana wa ufipa kufurahia serikali kufeli mipango yake au kilawakisikia ajali ya ndege wanaombea iwe Air Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masuala ya kisiasa yanaweza kupata 'coverage kwenye media' maana hugusa masilahi ya taifa au kundi kubwa la watu ila hii ya kuibuka mlevi mmoja mpiga kelele na kupewa attention ni upuuzi tu.
 
Hii imenigusa sana, watu wa maana hawapewi visa aisee eti Piere anaenda USA daaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwenye visa pale US EMBASSY akihojiwa atasemaje kuhusu nia ya trip yake to USA!! Lakini nadhani ni easy, kaenda Hamisa kwenda kudanga USA kwa nini wamnyime Pierre.

Mhudumu ongeza tatu hapa, pengine naweza fika hata Lubumbashi huko!!
 
Yani Kama kuna watu wapepata umaarufu wa kipumbavu na kwa njia ya Shetani basi Konk Liquid anachukua nafasi # 1

Hivi sisi tukiwa kama Taifa la vijana huyo jamaa anamchango gani kwetu zaidi ya kuharibu tu mentality za vijana wenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwenye visa pale US EMBASSY akihojiwa atasemaje kuhusu nia ya trip yake to USA!! Lakini nadhani ni easy, kaenda Hamisa kwenda kudanga USA kwa nini wamnyime Pierre.

Mhudumu ongeza tatu hapa, pengine naweza fika hata Lubumbashi huko!!

usa haendi embassy kuomba visa kama yeye...

yeye anaalikwa tu... anapeleka invitation letter pale embassy... wana i verify kisha wanamgongea visa..

hivi unafikiri kina diamond wanaomba visa.. kama wabeba ma box wanaoenda saka life ?

piere kaalikwa na watanzania walevi wa texas.. washamuombea visa moja moja kwenye barua yao ya mwaliko
 
Angalia sana huyo kiumbe unayemtukuza atawarubuni kingono familia nzima.

Naona mwili wako umewaka tamaa ya mapenzi kwa huyo mlevi.
Unamwonea wivu mwanaume mwenzio best punguza povu mbona wewe unatumia carolyte watu wamekausha tu mwacheni konki atusue maisha Ni kuachiana gap, mastaa wengi wametangulia huoni gap lipo wazi? Wabongo noma
 
Naae
usa haendi embassy kuomba visa kama yeye...

yeye anaalikwa tu... anapeleka invitation letter pale embassy... wana i verify kisha wanamgongea visa..

hivi unafikiri kina diamond wanaomba visa.. kama wabeba ma box wanaoenda saka life ?

piere kaalikwa na watanzania walevi wa texas.. washamuombea visa moja moja kwenye barua yao ya mwaliko[/QUOTE

Nasema hivi kwa sababu nimewahi kwenda USA kwa mwaliko wa UN, lakini usumbufu niliopata na maswali ilikuwa balaaa. Na nakumbuka watu kibao ni mialiko yao walinywa visa
 
usa haendi embassy kuomba visa kama yeye...

yeye anaalikwa tu... anapeleka invitation letter pale embassy... wana i verify kisha wanamgongea visa..

hivi unafikiri kina diamond wanaomba visa.. kama wabeba ma box wanaoenda saka life ?

piere kaalikwa na watanzania walevi wa texas.. washamuombea visa moja moja kwenye barua yao ya mwaliko
Nasema hivi kwa sababu niliwahi kwenda USA kwa mwaliko wa UN lakini usumbufu niliopata ni balaa. Nakumbuka pia watu kibao na mialiko yao siku ya majibu walinywa nisa
 
Back
Top Bottom