Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

Makonda kachemka.angetaka Pierre asemwe vibaya na wanachadema angemwalika amsifie hapo zingeanzishwa nyuzi nyingi sana za kumponda. But yeye alichoharibu ni kumponda zitaanzishwa nyuzi nyingi za kumpamba.
 
Mbona kuna thread ya walevi kabisa humu na sijui imefika page ya ngapi
Nafikiri na huyu yumo kwenye thread

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
DAAAAH PIERRE KAMA VILE KANUNUA JF LEO. KILA KONA YY TU. KWELI JAMAA ANA NYOTA YA UMAARUFU AISEE
 

Piere baada ya kulewa umaarufu, akihojiwa na mwandishi wa habari alimwita "taka taka" "we ni taka taka tu".
Leo waandishi wa habari wanapewa nasaha kuachana na Pierre ambaye RC amemtambua kama "mtu wa hovyo hovyo". Karma is Bitch
Japo watanzania bado wako upande wa Pierre, na hii ni bahati isiyo ya kawaida...kumfurahisha mtanzania!....Pierre achukue hii kama alert juu ya namna gani anapaswa kua na adabu na ukarimu pasi na kujikweza kisa tu ni maarufu na anapata deals...watanzania ni species za ajabu sana..watamshusha na kumpuuza hatoamini.
 
Kachemka vipi kumualika,wewe umewahi kualikwa kwnye event yeyote hata na bambo

Sent using Brain
Mkutano wa kutaka kuweka mikakati ya kuwaua wachawi unaanzaje kuwaalika wachawi??
 
Kasema hayo lini mkuu. Mbona cjawah sikia akitukana mtu yyt kwenye media. Yy huwa ni mtu wa kusifia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…