Mjue Steve Ndaula, mmiliki wa kampuni ya BMC iliyowatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 kisha kukimbilia Dubai

Mjue Steve Ndaula, mmiliki wa kampuni ya BMC iliyowatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 kisha kukimbilia Dubai

Tapeli sana ni mtoto wa CITL international. Ila these guys will one day be killed na wale wanaowadai. Hakika maisha ya kitapeli yana mwisho. Yule Michael Wambura sijui yupo wapi tapeli mkubwa kama Mr Kuku
Citl hapa mpakan mwenge?? Duuuh....pale kulikuaga na vjana wengi tu ila wengne naona wanafanya mambo yao hayo wanaenda poa tu....hawa wengine naona ni tamaa hizi ndio huwaingiza humo
 
Citl hapa mpakan mwenge?? Duuuh....pale kulikuaga na vjana wengi tu ila wengne naona wanafanya mambo yao hayo wanaenda poa tu....hawa wengine naona ni tamaa hizi ndio huwaingiza humo
Siyo poa ni suala la muda tu mambo yatalipuka. Wote hao wanafanya ndiyo shida market ni ngumu na unakuta wamecommit hela
 
Mswahili hajui kutafuta hela ila anapenda za mkato
Yaani yuko tayari kutoa kijinga lakini kumpa masikini sh 200 anaona ni kazi sana

Sasa ya hivyo kuyapiga ni rahisi sana
Ningekuwa sina hofu ya Mungu ningefungua moja hiyo blockchain niwalize mpaka wakome tena mimi ingeendea hata miaka 5 huku nikiuma huku napuliza na zikifika 1t huyo Copacabana
 
Ibiza mojaa
 
mimi na mjua zaidi, he was my friend SANA ZAIDI YA SANA, hiyo story ni nusu. SIAMINI KAMA AMEWEZA KUMAKE IT. NA KUMBUKA HUSTLE ZAKE. ILA LIFE LINA SIRI NYINGI SANA. 😂😂 HII ISSUE NA MIMI NINGEPIGA PESA . INVESTORZ WA HIZI DEAL WALIKUJA MIMI NIKAKAZA KICHWA, na wanangu wengine wa wali. ni nilikomaa na shule . ila the way was easy and simple na i was connected directly. sema utapeli sio issue . kumjua mungu nako sio issue.

Hawa watu walitufata 3 of us , wanajua ABCD zote.

16 billion 🙂🙂🙂 aisee. that was the door sema mungu kupanga.
 
mimi na mjua zaidi, he was my friend SANA ZAIDI YA SANA, hiyo story ni nusu. SIAMINI KAMA AMEWEZA KUMAKE IT. NA KUMBUKA HUSTLE ZAKE. ILA LIFE LINA SIRI NYINGI SANA. 😂😂 HII ISSUE NA MIMI NINGEPIGA PESA . INVESTORZ WA HIZI DEAL WALIKUJA MIMI NIKAKAZA KICHWA, na wanangu wengine wa wali. ni nilikomaa na shule . ila the way was easy and simple na i was connected directly. sema utapeli sio issue . kumjua mungu nako sio issue.

16 billion 🙂🙂🙂 aisee. that was door sema mungu akupanga
Funguka watu wajifunze na kuburudika mkuu....ndio dhumuni la hili jukwaa
 
Funguka watu wajifunze na kuburudika mkuu....ndio dhumuni la hili jukwaa
My identity will be revealed. Maana nikifunguka hapa. Atajua kabisa where to find me. na mimi ni nani, ila mwana ka hustle sana. Ilikuwa jumba bovu, mimi niliogopa tu. Na hawa watu mimi nawajua kabisa na jamaa sio muhusika.
 
[emoji16][emoji16] nyie members wa MYTFE kuna ujumbe wenu!

IMG_4509.jpg
 
Bwana Steve Ndaula ni kijana mdogo ambae alianzisha kampuni ya upatu/pyramid scheme ya Bestways Capital Management ambayo imewatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 na kisha akakimbilia Dubai.

Steve alisoma chuo cha IMTU fani ya Udaktari kuanzia mwaka 2012 hadi 2017.

Mwaka 2016, mwaka mmoja kabla hajamaliza masomo yake ya udaktari chuo cha IMTU akajiunga na kampuni ya upatu ya OneCoin ambayo ilitapeli watu mamilioni ya shilingi kisha kutoweka kimiujiza na wamiliki wake kutojulikana walipokimbilia.

Baada ya kampuni ya OneCoin kufunga biashara zake Tanzania, waliokua wamiliki ama wajumbe na viongozi wengine akiwemo Bw. Steve Ndaula wakaamua kuanzisha kampuni nyingine yenye madhumuni yale yale ya upatu na kuiita BMC Ltd.

Mwaka 2020, BMC kaanza kupokea michango kutoka kwa wawekezaji wapya kwa kianzio cha Shilingi milioni 23 na kuendelea.

Kuanzia mwaka 2021 na 2022, kama ilivyo kampuni yoyote ya upatu kwamba lazima itashindwa kutoa gawio ama riba kwa wawekezaji wengine kutokana na kukosekana kwa wawekezaji wapya, kampuni ikaanza kusuasua kulipa wawekezaji. Hapo ndio baadhi ya wawekezaji wakakimbilia Polisi na kumshitaki Bw. Ndaula na kukamata baadhi ya mali zake na kuziuza na hivyo kurejesha pesa zao huku idadi kubwa ya wawekezaji ikibakia haina namna, isijue cha kufanya.

Bwana Steve alifanikiwa kuwarubuni watu wengi wanaopenda faida kubwa ama utajiri wa haraka ndani ya muda mfupi kwa kuwaahidi riba ya 6% ya uwekezaji wao kwa mwezi sawa na 72% ya riba kwa mwaka.

Baada ya mambo kuanzia kuharibika, Bwana Ndaula akaamua kukimbia nchi na sasa yuko Dubai akila maisha.

Na kwa taarifa za ndani ni kwamba wamiliki wa Kalynda walikuwemo pia watu kutoka BMC LTD.

Kwa Tanzania ilivyo, kufa maskini ni kwa ujinga wako, watanzania walivyo rahisi kuwaibia unakufaje masikini?

Soma pia:

1) Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

2) Watanzania wapigwa tena na Kampuni ya Upatu ya "Best Capital Management" zaidi ya Bilioni 15
Hivi mtu mwenye uwezo wa kutoa milioni 23 anashindwaje kuingia JF na kujua kuhusu huu utapeli?
 
Wanakula na wenye makali wa Nigeria ndio mishe zao hizi na sahizi wamejaa Tz balaa
 
Tapeli sana ni mtoto wa CITL international. Ila these guys will one day be killed na wale wanaowadai. Hakika maisha ya kitapeli yana mwisho. Yule Michael Wambura sijui yupo wapi tapeli mkubwa kama Mr Kuku
Yule wa mpira ama?
 
Back
Top Bottom