Mjue Steve Ndaula, mmiliki wa kampuni ya BMC iliyowatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 kisha kukimbilia Dubai

Tapeli sana ni mtoto wa CITL international. Ila these guys will one day be killed na wale wanaowadai. Hakika maisha ya kitapeli yana mwisho. Yule Michael Wambura sijui yupo wapi tapeli mkubwa kama Mr Kuku
Citl hapa mpakan mwenge?? Duuuh....pale kulikuaga na vjana wengi tu ila wengne naona wanafanya mambo yao hayo wanaenda poa tu....hawa wengine naona ni tamaa hizi ndio huwaingiza humo
 
Citl hapa mpakan mwenge?? Duuuh....pale kulikuaga na vjana wengi tu ila wengne naona wanafanya mambo yao hayo wanaenda poa tu....hawa wengine naona ni tamaa hizi ndio huwaingiza humo
Siyo poa ni suala la muda tu mambo yatalipuka. Wote hao wanafanya ndiyo shida market ni ngumu na unakuta wamecommit hela
 
Mswahili hajui kutafuta hela ila anapenda za mkato
Yaani yuko tayari kutoa kijinga lakini kumpa masikini sh 200 anaona ni kazi sana

Sasa ya hivyo kuyapiga ni rahisi sana
Ningekuwa sina hofu ya Mungu ningefungua moja hiyo blockchain niwalize mpaka wakome tena mimi ingeendea hata miaka 5 huku nikiuma huku napuliza na zikifika 1t huyo Copacabana
 
Ibiza mojaa
 
mimi na mjua zaidi, he was my friend SANA ZAIDI YA SANA, hiyo story ni nusu. SIAMINI KAMA AMEWEZA KUMAKE IT. NA KUMBUKA HUSTLE ZAKE. ILA LIFE LINA SIRI NYINGI SANA. πŸ˜‚πŸ˜‚ HII ISSUE NA MIMI NINGEPIGA PESA . INVESTORZ WA HIZI DEAL WALIKUJA MIMI NIKAKAZA KICHWA, na wanangu wengine wa wali. ni nilikomaa na shule . ila the way was easy and simple na i was connected directly. sema utapeli sio issue . kumjua mungu nako sio issue.

Hawa watu walitufata 3 of us , wanajua ABCD zote.

16 billion πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ aisee. that was the door sema mungu kupanga.
 
Funguka watu wajifunze na kuburudika mkuu....ndio dhumuni la hili jukwaa
 
Funguka watu wajifunze na kuburudika mkuu....ndio dhumuni la hili jukwaa
My identity will be revealed. Maana nikifunguka hapa. Atajua kabisa where to find me. na mimi ni nani, ila mwana ka hustle sana. Ilikuwa jumba bovu, mimi niliogopa tu. Na hawa watu mimi nawajua kabisa na jamaa sio muhusika.
 
Hivi mtu mwenye uwezo wa kutoa milioni 23 anashindwaje kuingia JF na kujua kuhusu huu utapeli?
 
Wanakula na wenye makali wa Nigeria ndio mishe zao hizi na sahizi wamejaa Tz balaa
 
Tapeli sana ni mtoto wa CITL international. Ila these guys will one day be killed na wale wanaowadai. Hakika maisha ya kitapeli yana mwisho. Yule Michael Wambura sijui yupo wapi tapeli mkubwa kama Mr Kuku
Yule wa mpira ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…