Chuku chuku
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 873
- 1,360
Ila tusiwacheke waliotapeliwa, ukiwa huna connection na umepigika kitaani hiyo ya kuonga utaitafuta tu ili upate kazi, sema atakamatika tu za mwizi arobaini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi elfu 25 kwa siku akizipata 6 tu ana laki na nusu.Sandali Ali, Dah acha tu kiongozi. Huyu jamaa mimi alinirequest urafiki Facebook basi nikapitia profile yake na nilipoona picha yake sikuitambua. Akaja inbox na kuanzia story za sehemu niliposoma o-level, basi kutazama baadhi ya mutual friends ni kweli wapo wale waliokua mbele ya darasa langu na hakunionesha shaka yoyote na hasa ukiweka na lafudhi yake ya kisukuma basi nikaondoa wasiwasi maana huko nilikosoma wanafunzi wa jamii hiyo walikua wengi. Basi akaniuliza nilipo nikamjibu nae akanambia yupo Arusha na anafanya kazi NMB akaniambia kuna kazi zipo anaweza kunifanyia mpango niipate mojawapo basi sikuona ubaya na nikajua ndo navuna matunda ya mahusiano mema niliyokua NATO lna wenzangu wakati anasoma.
Akaniambia nimtumie CV na soft copy za vyeti. Nikamtumia na huku akiniharakisha sana basi nikajisemea moyoni kuwa hapa kazi ipo.
Baada ya kutuma akaniambia kuna gharama za ku'certify vyeti pia kuna copy moja inabid itumwe headquarters kwa njia ya EMS so nimtumie elfu 25 kwa ajili ya shughuli hizo, nani bila kusita nikamtumia fasta japo nikajiuliza yaani huyu rafiki yupo na position NMB anashindwaje kulimaliza hill tatizo dogo hivyo!! Nikakausha nikijua nasubiri tu simu ya interview.
Baada ya hapo akaniambia atanipa feedback kesho yake asbuhi. Hiyo kesho yake nikawa busy sana hivyo sikumtafuta, akanicheki na kuniambia mambo yanaenda fresh ila kuna issue ya mwisho inabidi niikamilishe maana alikua a nahitaji apate confirmation kwanza ya hiyo kazi toka kwa huyo mkubwa, kuuliza issue gani akanambia inatakiwa nitume hela ya job insurance ambayo itakua refunded nikianza kazi, basi hapo ndo akili ikanirudia.
Nikarudi nyuma nikagundua naomba niliyotumia kumtumia hela ni tofauti na niliyoongea nae pia ikiwa na jina tofauti na lake, lakini hizi habari za insurance nazo zinatoka wapi wakati hata interview sijaitwa? Wakati huo huo alisema angenitumia job description ya hiyo nafasi ambayo hadi wakati huo nilikua sijatumiwa hivyo bado sijui hata nafasi niniyoipigania ni nini.
Akaanza kunisisitiza kila mda niitume hiyo hela, mi nikamwambia kuwa anisaidie kuilipa na mimi nitamrejeshea baada ya kwenda huko Arusha kwenye hiyo interview. Ila akaendelea kunikomalia vibaya mno hadi nikamwambia "nashkuru sana kwa moyo wako wa kutaka kunisaidia, ila siihitaji tena hiyo kazi"
Leo baada ya kusoma huu uzi ndo natamvua kuwa nilitapeliwa na huyu jamaa ilikua sh 27,000 nikimtumia kwa tigo pesa. Dah hadi leo namba yake nimeisave kwa jina la "Venance M'boyzia"
Ahahahaha.Cheni yake Ni Kama ya wale global alliance
Huyu jamaa huko ktk friend list yangu aliniambia tumesoma shule moja o level kule kanda ya ziwa, akeleta hiyo issue ya Nmb branch huko pwani sikuzingazitia sababu sipend chattingJamaa Facebook anajiita Venance Mbike akitaka kukutapeli anakuanzia mbali kidogo kwenye kipengele cha kukuomba urafiki. Kisha anajifanya mlisoma wote aidha chuo kikuu au sekondari lakini yeye alikutangulia kidogo but anakufahamu sana.
Kama unapenda siasa atakupeleka huko, kama u mpenzi wa mpira hatakuwa nyuma pia.
Atakwambia kuwa yeye ni muajiriwa NMB mkoa fulani mbali na wewe. Sasa kuna siku atakwambia kuwa job wametangaza nafasi nyingi kama una ndugu hana kazi aombe.
Hapo kwenye mchakato wa kuomba kazi ndipo utakapoibiwa. Atakupiga ya certify vyeti, atakupiga ya hongo kwa meneja wa kanda au tawi, atakupiga ya vikorombwezo vingi mdogomdogo.
Kawapiga wengi.
Anatumia picha hii Facebook sijui kaitoa wapi. Kuna picha nyingine inafanana na hii kimavazi pia anaitumia kuwaibia vijana wenye njaa na ajira.
Mimi hajaniibia niliuruka mtego wake.
Vijana tuwe makini, ni aibu msomi kutepeliwa kirahisi.
View attachment 1472519
Nitumie link nimuombe friend requestJamaa Facebook anajiita Venance Mbike akitaka kukutapeli anakuanzia mbali kidogo kwenye kipengele cha kukuomba urafiki. Kisha anajifanya mlisoma wote aidha chuo kikuu au sekondari lakini yeye alikutangulia kidogo but anakufahamu sana.
Kama unapenda siasa atakupeleka huko, kama u mpenzi wa mpira hatakuwa nyuma pia.
Atakwambia kuwa yeye ni muajiriwa NMB mkoa fulani mbali na wewe. Sasa kuna siku atakwambia kuwa job wametangaza nafasi nyingi kama una ndugu hana kazi aombe.
Hapo kwenye mchakato wa kuomba kazi ndipo utakapoibiwa. Atakupiga ya certify vyeti, atakupiga ya hongo kwa meneja wa kanda au tawi, atakupiga ya vikorombwezo vingi mdogomdogo.
Kawapiga wengi.
Anatumia picha hii Facebook sijui kaitoa wapi. Kuna picha nyingine inafanana na hii kimavazi pia anaitumia kuwaibia vijana wenye njaa na ajira.
Mimi hajaniibia niliuruka mtego wake.
Vijana tuwe makini, ni aibu msomi kutepeliwa kirahisi.
View attachment 1472519
Jirani, kuna mmoja tupo nae hapahapa makao makuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema waTz sisi ni wapole sana na tuna roho ya kupotezea vitu, mtu anayetapeli kilaini kama huyu unajitoa kimasomaso mtu mmoja, unamobilize vijana wenzio kama watano hivi, mnatenga muda na pesa kidogo mnamsaka mpaka mnampata. Mnambeba mzobe mzobe mpaka polisi huku mkiwa na makabrasha ya ushahidi.
Kama mnaongea nae kwa simu binafsi ninaweza kuwasaidia kuwafahamisha namba anazotumia/anayotumia inapatikana wapi kwa muda husika, labda awe hawasiliani kwa kuongea na pia awe nje asiwe nchini.
Huyu jamaa ni kweli maelezo yake ni hayo ambayo anayatoa. Nakumbuka mwaka juzi nilikutana na fb akanipa maelezo hayo lakini nikampuuzia na hakunisumbua Tena.Jamaa Facebook anajiita Venance Mbike akitaka kukutapeli anakuanzia mbali kidogo kwenye kipengele cha kukuomba urafiki. Kisha anajifanya mlisoma wote aidha chuo kikuu au sekondari lakini yeye alikutangulia kidogo but anakufahamu sana.
Kama unapenda siasa atakupeleka huko, kama u mpenzi wa mpira hatakuwa nyuma pia.
Atakwambia kuwa yeye ni muajiriwa NMB mkoa fulani mbali na wewe. Sasa kuna siku atakwambia kuwa job wametangaza nafasi nyingi kama una ndugu hana kazi aombe.
Hapo kwenye mchakato wa kuomba kazi ndipo utakapoibiwa. Atakupiga ya certify vyeti, atakupiga ya hongo kwa meneja wa kanda au tawi, atakupiga ya vikorombwezo vingi mdogomdogo.
Kawapiga wengi.
Anatumia picha hii Facebook sijui kaitoa wapi. Kuna picha nyingine inafanana na hii kimavazi pia anaitumia kuwaibia vijana wenye njaa na ajira.
Mimi hajaniibia niliuruka mtego wake.
Vijana tuwe makini, ni aibu msomi kutepeliwa kirahisi.
View attachment 1472519
Jirani, kuna mmoja tupo nae hapahapa makao makuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Swali fikirishi sana hili,huenda kaporwa demu huko anakuja mchafua hukuUmejuaje kama amewaibia vijana wengi?
Mimi hawezi niibia mshamba, kama huyuJamaa Facebook anajiita Venance Mbike akitaka kukutapeli anakuanzia mbali kidogo kwenye kipengele cha kukuomba urafiki. Kisha anajifanya mlisoma wote aidha chuo kikuu au sekondari lakini yeye alikutangulia kidogo but anakufahamu sana.
Kama unapenda siasa atakupeleka huko, kama u mpenzi wa mpira hatakuwa nyuma pia.
Atakwambia kuwa yeye ni muajiriwa NMB mkoa fulani mbali na wewe. Sasa kuna siku atakwambia kuwa job wametangaza nafasi nyingi kama una ndugu hana kazi aombe.
Hapo kwenye mchakato wa kuomba kazi ndipo utakapoibiwa. Atakupiga ya certify vyeti, atakupiga ya hongo kwa meneja wa kanda au tawi, atakupiga ya vikorombwezo vingi mdogomdogo.
Kawapiga wengi.
Anatumia picha hii Facebook sijui kaitoa wapi. Kuna picha nyingine inafanana na hii kimavazi pia anaitumia kuwaibia vijana wenye njaa na ajira.
Mimi hajaniibia niliuruka mtego wake.
Vijana tuwe makini, ni aibu msomi kutepeliwa kirahisi.
View attachment 1472519
Yaani kwa kifupi sijaona mtanzania anaye weza kuniibia.Jamaa Facebook anajiita Venance Mbike akitaka kukutapeli anakuanzia mbali kidogo kwenye kipengele cha kukuomba urafiki. Kisha anajifanya mlisoma wote aidha chuo kikuu au sekondari lakini yeye alikutangulia kidogo but anakufahamu sana.
Kama unapenda siasa atakupeleka huko, kama u mpenzi wa mpira hatakuwa nyuma pia.
Atakwambia kuwa yeye ni muajiriwa NMB mkoa fulani mbali na wewe. Sasa kuna siku atakwambia kuwa job wametangaza nafasi nyingi kama una ndugu hana kazi aombe.
Hapo kwenye mchakato wa kuomba kazi ndipo utakapoibiwa. Atakupiga ya certify vyeti, atakupiga ya hongo kwa meneja wa kanda au tawi, atakupiga ya vikorombwezo vingi mdogomdogo.
Kawapiga wengi.
Anatumia picha hii Facebook sijui kaitoa wapi. Kuna picha nyingine inafanana na hii kimavazi pia anaitumia kuwaibia vijana wenye njaa na ajira.
Mimi hajaniibia niliuruka mtego wake.
Vijana tuwe makini, ni aibu msomi kutepeliwa kirahisi.
View attachment 1472519
Weeee, tema mate chiniYaani kwa kifupi sijaona mtanzania anaye weza kuniibia.
Mimi mwenyewe tapeliWeeee, tema mate chini