Mjue tapeli aliyewatapeli graduates wengi kwa kuwahadaa nafasi za kazi NMB

Hizi elfu 25 kwa siku akizipata 6 tu ana laki na nusu.
 
Huyu jamaa huko ktk friend list yangu aliniambia tumesoma shule moja o level kule kanda ya ziwa, akeleta hiyo issue ya Nmb branch huko pwani sikuzingazitia sababu sipend chatting
 
Sema waTz sisi ni wapole sana na tuna roho ya kupotezea vitu, mtu anayetapeli kilaini kama huyu unajitoa kimasomaso mtu mmoja, unamobilize vijana wenzio kama watano hivi, mnatenga muda na pesa kidogo mnamsaka mpaka mnampata. Mnambeba mzobe mzobe mpaka polisi huku mkiwa na makabrasha ya ushahidi.

Kama mnaongea nae kwa simu binafsi ninaweza kuwasaidia kuwafahamisha namba anazotumia/anayotumia inapatikana wapi kwa muda husika, labda awe hawasiliani kwa kuongea na pia awe nje asiwe nchini.
 
Nitumie link nimuombe friend request
 
Hivi Sabodo alipotelea wapi??
Huyu alikuwa member humu jf.
Kwaleo naomba niishie hapa
 
Jirani, kuna mmoja tupo nae hapahapa makao makuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa ni kweli maelezo yake ni hayo ambayo anayatoa. Nakumbuka mwaka juzi nilikutana na fb akanipa maelezo hayo lakini nikampuuzia na hakunisumbua Tena.
 
Wengine wanakwenda vyuoni, wanatoka na degree lakini akili hawana.
 
Mtanzania tangu lini akuitie fulsa ? tena social network hili halihitaji akili ya shule ata za kuchunga mbuzi utaelewa
 
Watu wa dizain hii ndio nchi kama Mexico wakiwakamata wanabanika kama nyama kwenye moto unaiva taratibu mpaka unakufa......ipo siku atajaa tuu.
 
Mimi hawezi niibia mshamba, kama huyu
 
Yaani kwa kifupi sijaona mtanzania anaye weza kuniibia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…