Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Mungu alishakupa akili timamu

Ni jukumu lako kutafuta ukweli unaposubiri mapokeo ndo utaingia kwenye huo mkumbo

Just go and read it's simple

Ukitaka kumficha mtu andika
Mkuu naona umeongelea mapokeo...Kwani mapokeo ni kitu gani hasa...??
 
Kama Yesu kaja kuokoa mbona wanazidi kupotoka? Mbona binadamu anazidi kuangamia katika uovu? Mbona ushetani umeshikiliwa na kanisa? Hiyari Iko kwenye moyo wa mwanadamu baada ya kuwa ameshajua mabaya na mazuri.
Shetani ameshikiliwa na kanisa kivipi..?? Yani hebu fafanua..?? Ni kanisa gani hilo..?? Unaweza tupa mifano jinsi hilo kanisa lilivyomshika huyo sheteni..?? Ni jibu tafadhali
 
Kumbuka jins inavomwanini muumba wako kupitia biblia ndvyo hata shetani anakuja kupitia sehem ile ile unapoiamin biblia..kwa mana hiyo shetan inaofaham anaa bible kukuzid wew mwanadamu hasa mambo yalifichwa au kuwekwa wazi mule ndani..ndio mana na yeye lazima aje kupitia hiyo hiyo bible through false prophets..
 
Otorong'ong'o
Kumbe mafarisayo bado mpo eeh mpaka kizazi hiki?, angalia wenzako walivo uliza kwa akili zao;....

But nafahamu dhehebu lako halikupi nafasi kujisomea maandiko lakini leo nakupa nafasi ya kusoma mwenyewe; Mathayo 24:1...78.19%
 

Mkuu pamoja na elimu yangu ndogo, haya yote ni ubatili mtupu, period. Hakuna kingine zaidi ya kuzaliwa, kuishi na kifo. Mengine yote ni ujanja ujanja wa kuhakikisha unaishi vizuri hapa duniani. Kifo ndo mwisho wa yote. Hakuna kufufuka, kwenda peponi au jehanamu au kuishi milele wala hukumu ya aina yoyote ile.
Ishi kwa upendo, ushirikiano na jitahidi kuacha historia ya matendo mema. Live life the fullest.
 
Iyo mgawanyiko wa anglikan na luthera n kutokana na hawajaama kugundua kuwa catholic liko chini ya himaya hiyo that why hawajamaa hawakuweza kutolerate situation nakuamua kutimka zao na kuunda makanisa yao yasio fungamana na ushetani
 
Hizo ni story za kisabato tumezizoea. Tunawafahamu kwa tafsiri za kinabii za uongo. Wasabato walishatabiri mpaka mwisho wa dunia lakini hakuna kitu. Kwa kifupi hawaelewi wanaposoma biblia maana hawatofautishi kati ya utawala wa kirumi wa zamani na kanisa la RC, ambavyo ni vitu viwili tofauti. Hata huyo mnyama ambaye wanakesha kwenye makambi wanatangaza alikuwa kiongozi wa ufalme wa kirumi na sio kanisa la Rc. Saivi wamekuja na hii mpya, na haitafanikiwa. Kama unahitaji ufafanuzi nitafute kwa wakati wako nikusomeshe
 
Do you know what is third eye? Umeandika upuuzi wewe mwenyewe usioujua.
 
mk
Iyo mgawanyiko wa anglikan na luthera n kutokana na hawajaama kugundua kuwa catholic liko chini ya himaya hiyo that why hawajamaa hawakuweza kutolerate situation nakuamua kutimka zao na kuunda makanisa yao yasio fungamana na ushetani
mkuu umesikia wapi hizi story hahahah dah kama hujui acha kutengeneza hivyo vitu unaweza kunisaidia kwanini angalikana walijitenga na lutheran pia?
 

Kwann mungu mwenye upendo wote awape watu wake mtihani hali ya kuwa yeye ameshafamu matokeo ya huo mitihani????

Ikiwa yesu alikufa msalabani kwa ajili yetu ili tuwe huru huu mitihani ni wann tena??
 

Una hakika gani kuwa mungu wako ndio Wa kweli?
 
Wakuu hali ya maisha yetu ya baadae inatisha. Ni jukumu na maamuzi yetu kuamua tunavyotaka. Lakini "Wamtumainio Bwana ni kama Mlima Sayuni hawatatikisika Milele Daima"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…