Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ha haaa hapana, wiki ya pili sasa sijapataJani limesimama imara leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaa hapana, wiki ya pili sasa sijapataJani limesimama imara leo
Ngoja Na Mimi ni share sehemu ndogo ya Mapito yangu kwenye Elimu
Uhuru Primary Ilala 1975-1977
Mzee akahamishiwa Kibaha.
Mailimoja Primary 1977-8
Kibaha primary 79
Tumbi primary 1980
Nikamalizia la 7
Shule ya msingi chalinze 1981
Baada ya kuhitimu msingi
Nilipita shule hizi secondary
Kibaha sec
Nilifukuzwa kabla hata ya kumaliza unjuka
Nikaenda
Ifunda tec nikiwa 4m 2 tuliiba spare za karakana nikatimuliwa
Iyunga tec sikufanikiwa kumaliza kidato cha 4 Mzee akanichoka
Enzi hizo Uncle alikuwa mwalimu wa Tambaza Nikawa nasoma part time Mpaka nilipopata nafasi kwa mbinde Arusha day
Nikafanikiwa kumaliza elimu ya secondary
Kwa mbinde.... Hiyo 1986
Maisha ya Advance yalikuwa matamu sanaa
A-Level Nilipita Kibaha tena na nikamkuta Mwl Mkuu yule yule aliyenifukuza kwa kosa la kumleta demu usiku kwenye dom za shule Enzi nikiwa njuka na yule demu alikuwa anakaa kwenye Kota za shirika la Elimu kumbe alikuwa ni Binti yake.
Mzee wa watu alikuwa na kinyongo bado nikaundiwa zengwe nikafukuzwa tena nikiwa 5
Nikaona kusoma si riziki na mshua alikuwa mkali sanaa
Hapo nika escape home na kuzamia kenya kipindi hicho kenya walikuwa mabepari.
Nikawa naosha magari na kubrush viatu vya wazungu. Mungu si Athumani kuna kizee cha UK kilikuwa na mashamba yake kakanichuka kakanipeleka huko Eldoret.
Nikawa napiga shamba wakati huo Habari ya home na shule nilikuwa sitaki kusikia kabisa.
Miaka 5 Mbele yule mzee alitembelewa na watoto wake.
Kufupisha history yangu ya Elimu
Mmoja wa watoto wake nilimkula ki masihara na mbaya zaidi yeye aliforce
Binti alipata UjauZito na hakuwa tayar kuniacha
Muhuni Nikapata bahati ya kuzamia UK kisa K tuu!
Mzee wa Binti alipata fadhaa sanaa.
Ikabidi anipeleke Kozi ili niendane na Binti yake na hapo ndipo milango yangu ya Elimu ikafunguka na Nikafanikiwa kusoma vyuo vikuu bora.
Binti alifariki akaniachia mapacha wa 2
Na baada ya miaka 15
2005
Ndipo nirirudi nyumban Tz baada ya zaidi ya miaka 10+
Mpaka sasa nafahamu
Kila kinachotokea ni mpango wa MUNGU na hutokea kwa Makusudio.

Hahaha kweli mtu ambae hajui na hajui kuwa hajui ni shida sana. Yaani mimi nipo shallow?Yupo shallow
Utakuwa upo cool wangu!
Shengena one was my dormitory,class of 2011....watu wa HGL tulipigwa suspension sababu ya ule mgomo me n mmoja waoNgarenaro primary school ...2004
Arusha day secondary.... 2008
Old moshi sec 2011.....
?????? Somewhere in DSM
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewah kukaa itigiAsili Idondyandole, bt home Mitundu -Mgandu ,napajua hiyo mitaa
Hamna mkuu sio ww[emoji16][emoji23]Hahaha kweli mtu ambae hajui na hajui kuwa hajui ni shida sana. Yaani mimi nipo shallow?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina la shule ni jina la mtaa wa shule ilipo.Wajua ipo wapii..?