upupu255
Senior Member
- Sep 4, 2024
- 119
- 144
Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba
"Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”.
Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia baadhi ya viongozi wa Serikali ambao wekuwa wakiipa sapoti Simba
Jemedari Saidi ambaye kwa sasa ni Mchambuzi na CEO wa klabu ya JKT Tanzania ameshutumiwa na wazee wa Yanga kuwa anaisema vibaya klabu yao bila sababu.