steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Hii ya leo imezidi,ni mubumunda kabisaIle mizee iliyotoa siku 7 iliishia wapi? Ile sasa ndio mbumbute wa kutupwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ya leo imezidi,ni mubumunda kabisaIle mizee iliyotoa siku 7 iliishia wapi? Ile sasa ndio mbumbute wa kutupwa
Hivi shida nini nyie mnaoisimanga Yanga. Mechi ya kwanza tuliwafunga kule Zanzibar mbona hamkupanic kiasi hiki. Hawa Singida walifungwa mbili bila na KMC na Yanga wakawafunga hawa KMC sita kwa moja. Jamani kafungwa Singida mnaumia mambumbumbu wa soka shida nini. Tulieni sindano iwaingie taratibu.Hao wazee ni WAPUMBAVU NA WAJINGA..... Wala hakuna haja ya kusikiliza watu waliozeeka akili.... HAO NI WAPUMBAVU NA TAKATAKA..... unahitaji nini kujua yanga wanapanga matokeo??? Hersi anajifanya anajua halafu analeta wapuuzi kama hawa kutetea usengerema wa kipuuzi wa kununua mechi??? HATA GOLI WALILOPATA SINGIDA NI MIPANGO YA YANGA ILI KUFUKIA. SIKU HIZI HATA HAKUNA HAJA YA KUFUATILIA LIGI YA KIPUMBAVU HII.
Wamalize matatizo na magoma!Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba
"Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”.
Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia baadhi ya viongozi wa Serikali ambao wekuwa wakiipa sapoti Simba
Jemedari Saidi ambaye kwa sasa ni Mchambuzi na CEO wa klabu ya JKT Tanzania ameshutumiwa na wazee wa Yanga kuwa anaisema vibaya klabu yao bila sababu.
Mjinga mmoja kama wewe ukiacha kufuatilia mechi za NBC unaleta effect ipi Kwa mashabiki zaidi ya M20 wa yanga?Hao wazee ni WAPUMBAVU NA WAJINGA..... Wala hakuna haja ya kusikiliza watu waliozeeka akili.... HAO NI WAPUMBAVU NA TAKATAKA..... unahitaji nini kujua yanga wanapanga matokeo??? Hersi anajifanya anajua halafu analeta wapuuzi kama hawa kutetea usengerema wa kipuuzi wa kununua mechi??? HATA GOLI WALILOPATA SINGIDA NI MIPANGO YA YANGA ILI KUFUKIA. SIKU HIZI HATA HAKUNA HAJA YA KUFUATILIA LIGI YA KIPUMBAVU HII.
Ile kauli ya Manara kuhusu watu wa hii timu itaishi milele.Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba
"Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”.
Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia baadhi ya viongozi wa Serikali ambao wekuwa wakiipa sapoti Simba
Jemedari Saidi ambaye kwa sasa ni Mchambuzi na CEO wa klabu ya JKT Tanzania ameshutumiwa na wazee wa Yanga kuwa anaisema vibaya klabu yao bila sababu.
Watakutumia busha kwa bluetooth, we shauri yakoYanga Ina wazee machoko na WA hovyo , hao wazee wote ni machoko hamna kitu kichwani
Vipi bidhaa za Azam tuendelee kuzisusa.?Au hili wamelisahau?Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba
"Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”.
Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia baadhi ya viongozi wa Serikali ambao wekuwa wakiipa sapoti Simba
Jemedari Saidi ambaye kwa sasa ni Mchambuzi na CEO wa klabu ya JKT Tanzania ameshutumiwa na wazee wa Yanga kuwa anaisema vibaya klabu yao bila sababu.
"wazee wameshakula mihogo yao wanakuja kubwabwaja tu"Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba
"Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”.
Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia baadhi ya viongozi wa Serikali ambao wekuwa wakiipa sapoti Simba
Jemedari Saidi ambaye kwa sasa ni Mchambuzi na CEO wa klabu ya JKT Tanzania ameshutumiwa na wazee wa Yanga kuwa anaisema vibaya klabu yao bila sababu.
Bro kwa nia njema naomba unieleweshe Yanga wamepangaje matokeo dhidi ya Singida?Hao wazee ni WAPUMBAVU NA WAJINGA..... Wala hakuna haja ya kusikiliza watu waliozeeka akili.... HAO NI WAPUMBAVU NA TAKATAKA..... unahitaji nini kujua yanga wanapanga matokeo??? Hersi anajifanya anajua halafu analeta wapuuzi kama hawa kutetea usengerema wa kipuuzi wa kununua mechi??? HATA GOLI WALILOPATA SINGIDA NI MIPANGO YA YANGA ILI KUFUKIA. SIKU HIZI HATA HAKUNA HAJA YA KUFUATILIA LIGI YA KIPUMBAVU HII.
Kama hutojali mkuu. Naomba unisaidie kujua walipangaje matokeo?Bado tunahoji ubwege ule wa kupanga matokeo kipumbavu hadi Doto Magari anajua mmefumdishwa na wanasiasa wa CCM ambao wanakimbia na box ya kura mchana kweupe peeee