Anaitwa nani?Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.
Chanzo: Channel ten!
Maendeleo hayana
Bwashee unaelewa maana ya kumnukuu mtu kupitia reliable source ya habari kama Channel ten?Sasa kama huyajui kwanini unapenda kudandia usivyovijua bwashee, ona sasa utakosa usingizi usiku huu, bora Zitto angekuwa ameshalala!.
Ana jina la kichaga sijalisikia vizuri luningani ngoja nipitie Channel ten nitalileta!Anaitwa nani?
Na TV ya Lumumba ikaweka breaking newsKama Zitto anasema kweli basi yule mjumbe wa CC ya Chadema aliyehamia CCM amefanya kosa la kiufundi kumdanganya Katibu wa Itikadi na Uenezi mbele ya camera.
Tena akaomba salamu zake zifikishwe kwa mwenyekiti na Katibu mkuu
Wote matapeli tu hapoKama Zitto anasema kweli basi yule mjumbe wa CC ya Chadema aliyehamia CCM amefanya kosa la kiufundi kumdanganya Katibu wa Itikadi na Uenezi mbele ya camera.
Tena akaomba salamu zake zifikishwe kwa mwenyekiti na Katibu mkuu
Hahahaaaa.... Ilikuwa ni habari ya mwisho kabla ya wasaa wa michezo!Na TV ya Lumumba ikaweka breaking news
Your reliable source channel ten... I like that!. halafu umekariri wachaga tu bwashee, Tz ina makabila sijui mia ngapi huko, hebu jifunze na hayo mengine...Bwashee unaelewa maana ya kumnukuu mtu kupitia reliable source ya habari kama Channel ten?
Sio kwamba akina Polepole hawajui, kuna game inachezwa ili wapige hela, kinachofanyika ni justifications za kula hela za jiwe, watafanyaje maana hiyo ndio style ya jiwe, na wao inabidi waitumie kupiga hela wakati huo huo wanamlizisha jiwe kuwa tumekuletea vifaa toka csm, na huenda wanao nunuliwa wakawa ni watu wa tiss wenyewe, wanajitengenezea kamradi wa kupiga hela, na ndio maana kila mwaka trillion lazima zipotee.Kama Zitto anasema kweli basi yule mjumbe wa CC ya Chadema aliyehamia CCM amefanya kosa la kiufundi kumdanganya Katibu wa Itikadi na Uenezi mbele ya camera.
Tena akaomba salamu zake zifikishwe kwa mwenyekiti na Katibu mkuu
Mchumia tumbo tu hakuna kingine,anafuata teuzi tu.
Hii nchi wasomi wake ni wa kuwahesabu!
Wachagga na Wakinga majina yao ni maalumu sana kwa mfano Lyatonga!Your reliable source channel ten... I like that!. halafu umekariri wachaga tu bwashee, Tz ina makabila sijui mia ngapi huko, hebu jifunze na hayo mengine...
Channel ten imekuwa reliable source au lickable sauce!?Bwashee unaelewa maana ya kumnukuu mtu kupitia reliable source ya habari kama Channel ten?
Chakubanga amekuwa bilionea katika hii project ya kununua wapinzani uchwara,alikuwa anapiga pasu kwa pasu.Sio kwamba akina Polepole hawajui, kuna game inachezwa ili wapige hela, kinachofanyika ni justifications za kula hela za jiwe, watafanyaje maana hiyo ndio style ya jiwe, na wao inabidi waitumie kupiga hela wakati huo huo wanamlizisha jiwe kuwa tumekuletea vifaa toka csm, na huenda wanao nunuliwa wakawa ni watu wa tiss wenyewe, wanajitengenezea kamradi wa kupiga hela, na ndio maana kila mwaka trillion lazima zipotee.
Siku hizi siasa pia ni biashara, watu wananunuliwa, hivyo hiyo ni marketing strategy to add value. Hata ungekuwa bado uko Chadema, ukaamua kujiuza, ili upate dau kubwa lazima ufanye value addition hata kudanganya mfano "mimi ndio the only think tank wa Chadema", just to get good price kwa kuonyesha " mimi ndio kila kitu" " mimi ndio tegemeo lao":"Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 ( tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Kama Zitto anasema kweli basi yule mjumbe wa CC ya Chadema aliyehamia CCM amefanya kosa la kiufundi kumdanganya Katibu wa Itikadi na Uenezi mbele ya camera.
Tena akaomba salamu zake zifikishwe kwa mwenyekiti na Katibu mkuu
Siku hizi siasa pia ni biashara, watu wananunuliwa, hivyo hiyo ni marketing strategy to add value. Hata ungekuwa bado uko Chadema, ukaamua kujiuza, ili upate dau kubwa lazima ufanye value addition hata kudanganya mfano "mimi ndio the only think tank wa Chadema", just to get good price kwa kuonyesha " mimi ndio kila kitu" " mimi ndio tegemeo lao":" bila mimi, hakuna CC ya Chadema" ili jamaa wajione wamenunua mali yenye thamani sana!, kwenye sales & marketing strategies kwa biashara zote, mbinu hizi zinakubalika, hata kwenye biashara ya siasa!.
Kitu ambacho nakisubiri kwa hamu ni kuangalia kama wachezaji wote wa kulipwa walionunuliwa kwa dau nene, wote watapangwa kwenye mechi?.
P
Naunga mkono hoja, na kufuatia uwepo wa bidha fake, kuna baadhi ya wanunuzi wananunua bidhaa fake kwa bei ya juu wakiamini ni original!, na ukiwa huijui original, ukiuziwa fake na kuambiwa ndio yenyewe, lazima utafika tuu bei!, muda wa kujua kuwa uliuziwa fake, ni wakati wa performance, by then it will be too late.Hiyo afadhali, mbaya zaidi ni ile hata wanunuzi wanajua kabisa kwamba wanachonunua hakina thamani sana zaidi ya kunufaika na uhamiaji ila wako radhi watengeneze mazingira huyo wanaemnunua aonekane alikua mtu muhimu ndani ya chama atokacho japo kwenye kamera tu.
Ukute wanufaikaji ni wengi kwenye huu mfumo mzima wa manunuzi.
Asante Mh Zito! Mh sasa mnaendaje kwenye uchaguzi wakati CCM for sure itatumia mbinu kama za uchaguzi wa serikali za mitaa kupora ushindi wako/wenu wapinzani wa kweli?Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 ( tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo