Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA aliyebuni project ya " CHADEMA ni Msingi" ahamia CCM na kupaponda Ufipa!

Kuna nini Chadema mbona wanapakimbia? Au ndio siku ya kufa nyani miti yote huteleza?
Watu wameshajua kuna pesa za bure, wataziachaje? Na mimi nahamia huko kwa muda nikachukue mshiko wangu wa kutosha. Nitawaambia mimi ndiye nilikuwa mshauri wa Mzee Mtei na Bob Makani. Najua Slow Slow atanipokea kwa mbwembwe zote na TBC watarusha live[emoji23]
 
ila picha inavyoonyesha hawa wote walionunuliwa baada ya uchaguzi kazi wanayo,wanaweza wasipate fadhila na mission wameshaimaliza
 
 
Nakubaluana na wewe, kama alivyonunuliwa Waitara, alitamba sana kuwa yeye ndiye ataizika kabisaaaaa Chadema na kweli akaukwaa Unaibu Waziri, lakini hadi leo hii yeye ndye anaelekea kujizika.
 
Dau likiwa kubwa na yeye dalali anapiga cha juu kikubwa zaidi, si unaona madalali wa vyumba walivyoparamisha bei za vyumba hapa mjini.
 
Asante kwa kuthibisha kuwa CCM inanunua wapinzani
 
Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 ( tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Acha Watanzania wenye mioyo myepesi wakaonje 1.5+2.4 Trillions za wezi.CCM wananunua mapapai,mpapai wenye nao wanahakikisha unazaa matunda yanayovutia kila siku ili waroho waendelee kununua.
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.

Chanzo: Channel ten!

Maendeleo hayana
Yeyote anayehama CHADEMA utasikia waliobaki CHADEMA wanasema - kanunuliwa, ni mwongo, hakuwa mwanachama, alikuwa ameisha fukuzwa, ni...... na..... Acha aende treini inaenda kigoma yeye kashuka njiani n. k.
Mtaisha
 
Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 ( tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Wewe unadhani mwenyekiti wa halmashauri hana njaa,analipwa kiasi gani kwa mwezi?
Tumetofautiana kwenye kufikiri aisee..
Huyo si alikuwa mwenyekiti wa halimashauri au?
Hiyo njaa anaitoa wapi?
 
Taifa la wajinga na mang'ombe
 
Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 ( tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Uko sahihi kabisa, mimi hii niliikuta wakati najiunga CHADEMA mwaka 2006....CHADEMA ni Tawi ambayo imekuja baadae kubadilishwa na kuitwa CHADEMA ni MSINGI.
 
Sio wote mpaka wachezeshwe, hata kwenye timu kubwa wakinunua wachezaji wanakaa bench mda kidogo ili wazoehe mazingira labda yule atakaye zoea mazingira haraka na kuendana na mfumo wa kocha. Ni chadema tu walio sajili mchezaji hata kabla ya wiki wakampa nafasi muhimu ya ushambuliaji wakati hajafanya hata mazoezi kisa mzoefu, kilichowapata nyinyi mashaki mnakijua. Hakina kocha mzuri anaweza kufanya Ujinga huo wakupanga mchezaji kabla ya kufanya naye mazoezi.
 
Sababu za Simba kununua mchezaji wa Yanga huwa ni tatu. Ya kwanza - anawasumbua sana kila wakicheza nao lazima awafunge. Mchezaji mwenyewe si mchezaji wa maana. Anabahati tu ya kuifunga Simba. Ya pili - uwezo tu wa kununua mchezaji wa Yanga. Ulevi usio na tija yoyote. Ya tatu - mchezaji mzuri wa kuwafaa na namba yake ipo wazi. Vivyo hivyo vyama. Sababu ya tatu alikuwa anaicheza marehemu Hiza Tambwe kote alikoenda! Hawa wengine benchi linawahusu. Mbwembwe za kuwachukua ziliishia kuwakosesha usingizi upande wa pili. Kelele za mwenye nyumba, je, zinamnyima mpangaji usingizi?
 
Hapa unazungumzia watu kulenga uteuzi,au unao ushahidi kuwa watu huwa wanapewa mlungula ili wahamie Ccm ?Maana sisi tunaoushahidi wa vinywa vyao wakisema wao huwa hawanunuliwi bali wamemkubali JPM na Ccm kwa kufanya yale waliokuwa wanayatarajia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…