johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Meku mkuu Zitto ameshafafanua......kuileta hoja Jf ni utafiti tosha bwashee!Kasuku. No research, funga mdomo. Kwani kila ukisomacho lazima kukinukulu? Ulinukulu kubebea upuuzi wako kumbe mbeleko tambala bovu. Limeachia ukatumbukiwa nyongo. Bwashee kawa meku!
Kwa hiyo ulipofukuzwa mlikuwa mmeshaibuni?Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 (tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Taarifa hii imfikie Humphrey Polepole!
Bwashee kuna tofauti kati ya tawi na msingi?Hahahah! Walichobuni akina Zitto ni kitu kingine tofauti, sema tu amefananisha TAWI na MSINGI.
Walichokibuni wao kiliwatokea puani!!
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye ndiye msomi pekee mbobezi aliyebuni miradi mbalimbali ndani ya chama ukiwemo ule wa CHADEMA ni msingi amehamia CCM na kupokelewa na mwenezi wa chama ndugu Polepole.
Chanzo: Channel ten!
Maendeleo hayana
Mzee Mgaya yuko Mavhame anatengeneza mazingira!Mzee Mgaya anasemaje kwani?
CCM kumesheheni PhD bwashee!Msomi pekee mbobezi Chadema? Kama msomi nategemea amezungumzia sera zipi zilizomvuta CCM na sio kujisifia miradi aliyobuni katika chama alichotoka. Au ameona kuna udhaifu katika kubuni miradi CCM hivyo anataka kuwasaidia kwenye hilo?
Amandla...
CCM kumesheheni PhD bwashee!
Wanasema chadema nyumbu sasa wakifika huko wanageuka kuwa nani au ng'ombeChama cha wazee utakijua tu, kila kikipata mtu toka chama cha vijana utasikia wanasema huyu ndio kijana mwenye nguvu kabisa. Na uzuri sasa hivi watu toka cdm wameshajua ile 1.5t haijaisha, kila mtu akitoka cdm akifika ccm anawaambia yeye ndio alibuni kitu fulani.
Kesho akienda mwingine toka CHADEMA, akifika ataawaambia yeye ndio alibuni nembo ya cdm na ni msomi wa nguvu, hapo analamba 10m yake hardcash. Nani ataacha hela za Mabwege waliopanick kwenye siasa.
Bwashee kuna tofauti kati ya tawi na msingi?
Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 (tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Nashangaa,nani ataamini hoja kama hiyo?Ni swali au unapigia jibu mstari?
Tangu lini CCM waliishi bila uongo na majungu??Huu ni uwongo. CHADEMA ni Msingi tuliibuni Mwaka 2004 (tukianza kuita CHADEMA ni Tawi). Huyo mtu unayemsema ametoka wapi? Ni mwongo huyo
Nashangaa,nani ataamini hoja kama hiyo?