Ndugu haya ni mapigo ya albadir..tulidhani adui yetu yupo nyumba ya pili tukawasha moto kwa kujiamini sasa unatumaliza..kama kuna dua ya kutengua tupo tayari tuchangie hata ngamia..HIVI WAKUU HAWA WABUNGE NA MADIWANI HAMAHAMA WANAVUTWA NA ULIMBO GANI AISEEE???
AU NDO VIWANDA TULIVYOAHIDIWA??THIS IS TOO MUCH ASEE
Hawatakosa uDC .Viti maalumu havina biashara, havilipi mtavipeleka wapi,kwani wanapigiwa kura wale?
Hii ipo clear kitamboKilimanjaro anaondoka KALIST KOMU WA MOSHI (V) na JAFARI MICHAEL WA MOSHI MJINI.
Hii ipo clear kitambo
Kumbe mmejaza Malaya? Acha wanunuliwe maana ukienda kona bar ni kama uko Chadema unajichagulia Malaya unayemtaka.Hao ni Malaya,siyo wabunge
Jibu ni SERA BORA na Mikakati madhubuti.Kwanini wanajiamini hivi hawa.???
Hivi ni kweli mnaamini wananunuliwa? Mbona sioni sababu za ccm kuwanunua? Nazani ingependeza km mgesema wanashawishiwa.Tulishasema hii ni biashara. Tunamshukuru jaribu mwenezi.
View attachment 890013
Mjumbe wa Kamati ya Itikadi na Uenezi Mkoa wa Dar es Salaam, Frey Edward Cosseny, amewarusha tena roho juu wafuasi wa Vyama vya Upinzani baada ya kudai kuwa, kuna Wabunge wengine sita wanafuata baada ya Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya (CHADEMA) kujiunga na CCM.
Frey Cosseny amedai kuwa, Wabunge watakaojiunga na CCM kutokea CHADEMA ni wanatokea Mikoa ifuatvyo:
Mkoa wa Kilimanjaro - Wabunge wawili (02),
Mkoa wa Dar es Salaam - Wabunge wawili (02),
Mkoa wa Manyara - Mbunge mmoja (01),
Mkoa wa Mara - Mbunge mmoja (01).
Huo ndio uchumi wa viwanda! We are extremely good at underdeveloping!
Haya Wazee wenzangu wa mapovu camp, naomba tutiririke hapa kubashiri Wabunge hao walio mbioni.
Kwa Mkoa wa Mara nahisi Ester Matiko (Tarime Mjini) hatasalimika na hizi radar za CCM. Utakuwa ni usajili mzuri.
Tutaje wa Mikoa mingine.
Kilimanjaro Jaffary Michael na Olomi washazungumzwa sana kama ilivyokua kwa Millya... Dsm Mnyika na Kubenea...kwa kilimanjaro yule selasini simuelewagi kabisa
mara yule mama matiko naye chenga
daslam kubenea
Malaya ni malaya tu, asipovutwa na fedha atavutwa na muwasho!.HIVI WAKUU HAWA WABUNGE NA MADIWANI HAMAHAMA WANAVUTWA NA ULIMBO GANI AISEEE???
AU NDO VIWANDA TULIVYOAHIDIWA??THIS IS TOO MUCH ASEE
Watanzania gani hao unaowasema ndugu? Wao hawana makuu kabisa na mambo ya kisiasa, ndiyo maana inakuwa rahisi kwao kumpigia tena kura Mbunge/Diwani aliyejivua nyadhifa zake halafu anashinda tena kwenye Chama alichohamia, kwa walioendelea kamwe haushindi.
So, naona hapa CCM wametumia ajili kubwa sana kwani itachukua muda tena Upinzani hasa CHADEMA kuwa-groome at a shortest possible time, Makada wazuri wa kushindana na CCM.