Tetesi: Mjumbe wa Kamati ya Uenezi ya CCM Mkoa wa Dar, Frey Edward: Kilimanjaro kuna Wabunge 2, Manyara 1, Dar 2 na Mara 1. Watakuja kabla ya Disemba.

Daimler

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
556
Reaction score
974
IMG_9058.PNG

Mjumbe wa Kamati ya Itikadi na Uenezi Mkoa wa Dar es Salaam, Frey Edward Cosseny, amewarusha tena roho juu wafuasi wa Vyama vya Upinzani baada ya kudai kuwa, kuna Wabunge wengine sita wanafuata baada ya Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya (CHADEMA) kujiunga na CCM.
Frey Cosseny amedai kuwa, Wabunge watakaojiunga na CCM kutokea CHADEMA ni wanatokea Mikoa ifuatvyo:
Mkoa wa Kilimanjaro - Wabunge wawili (02),
Mkoa wa Dar es Salaam - Wabunge wawili (02),
Mkoa wa Manyara - Mbunge mmoja (01),
Mkoa wa Mara - Mbunge mmoja (01).

IMG_9057.jpg

Haya Wazee wenzangu wa mapovu camp, naomba tutiririke hapa kubashiri Wabunge hao walio mbioni.
Kwa Mkoa wa Mara nahisi Ester Matiko (Tarime Mjini) hatasalimika na hizi radar za CCM. Utakuwa ni usajili mzuri.
Tutaje wa Mikoa mingine.
 
Wataweza kuwanunua watanzania?
Watanzania gani hao unaowasema ndugu? Wao hawana makuu kabisa na mambo ya kisiasa, ndiyo maana inakuwa rahisi kwao kumpigia tena kura Mbunge/Diwani aliyejivua nyadhifa zake halafu anashinda tena kwenye Chama alichohamia, kwa walioendelea kamwe haushindi.
So, naona hapa CCM wametumia ajili kubwa sana kwani itachukua muda tena Upinzani hasa CHADEMA kuwa-groome at a shortest possible time, Makada wazuri wa kushindana na CCM.
 
HIVI WAKUU HAWA WABUNGE NA MADIWANI HAMAHAMA WANAVUTWA NA ULIMBO GANI AISEEE???
AU NDO VIWANDA TULIVYOAHIDIWA??THIS IS TOO MUCH ASEE
Wanavutiwa na Siasa na CCM - Chama Cha Magaidi a.k.a Watu wasiyojulikana wkt zamani kilikuwa ni Chama cha Mapinduzi! Yaani mpaka hapo haujaelewa sbb kubwa!?

Mwenyekiti wa Chama ambaye ni Mkuu wa Watu wasiyojulikana, yuko bize na Operation kali usiku na mchana, wwe ngoja wa TZ tuendelee kulala tu, ipo siku tutaamka tayari wote tunajikuta tumefungwa miguuni minyororo na plasta Midomoni kama mateka na watumwa ndani ya Nchi yetu wenyewe!
Mdogo mdogo ipo siku tutaelewa nni lengo la kufanya ununuzi wa wabunge wa Upinzani
 
Watanzania gani hao unaowasema ndugu? Wao hawana makuu kabisa na mambo ya kisiasa, ndiyo maana inakuwa rahisi kwao kumpigia tena kura Mbunge/Diwani aliyejivua nyadhifa zake halafu anashinda tena kwenye Chama alichohamia, kwa walioendelea kamwe haushindi.
So, naona hapa CCM wametumia ajili kubwa sana kwani itachukua muda tena Upinzani hasa CHADEMA kuwa-groome at a shortest possible time, Makada wazuri wa kushindana na CCM.
Mgoogle dr Bashiru,ana jibu la haya maelezo!
 
Watanzania gani hao unaowasema ndugu? Wao hawana makuu kabisa na mambo ya kisiasa, ndiyo maana inakuwa rahisi kwao kumpigia tena kura Mbunge/Diwani aliyejivua nyadhifa zake halafu anashinda tena kwenye Chama alichohamia, kwa walioendelea kamwe haushindi.
So, naona hapa CCM wametumia ajili kubwa sana kwani itachukua muda tena Upinzani hasa CHADEMA kuwa-groome at a shortest possible time, Makada wazuri wa kushindana na CCM.
Mkuu siamini kama ni wanawapigia Kura bali wanapitishwa.Kilichopo Sasa watanzania wengi hawataki siasa kabisa kwani haki zao zinakandamizwa.Hata wanasiasa wa upande mwingine wanaonekana ni wahalifu na kutengenezewa unyama na ukatili sn.Ndo sababu inaonesha wanapita.Lakini DHULUMA ni kubwa na vitisho vya mauaji vingi Kwa wapinzani
 
Wanavutiwa na Siasa na CCM - Chama Cha Magaidi a.k.a Watu wasiyojulikana wkt zamani kilikuwa ni Chama cha Mapinduzi! Yaani mpaka hapo haujaelewa sbb kubwa!?

Mwenyekiti wa Chama ambaye ni Mkuu wa Watu wasiyojulikana, yuko bize na Operation kali usiku na mchana, wwe ngoja wa TZ tuendelee kulala tu, ipo siku tutaamka tayari wote tunajikuta tumefungwa miguuni minyororo na plasta Midomoni kama mateka na watumwa ndani ya Nchi yetu wenyewe!
Mdogo mdogo ipo siku tutaelewa nni lengo la kufanya ununuzi wa wabunge wa Upinzani
Hakuna anaye nunuliwa mzee
 
Zamani ilikuwa chama kinajinasifu kwa sifa kugawa kadi 3000 kwa mpigo kwa wapiga kura waliohamia chama Fulani. Lakini sasa hivi eti chama Fulani kina jisifu kumpokea mpigiwa kura mmoja na kupoteza imani ya wapiga kura 3000 kwa vile uchaguzi wa sasa sio muhimu wapiga kura utashi wao maana kina NEC, DED na Polisi
 
Back
Top Bottom