Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Tuma hivyo vitabu hapa hasa hicho cha Anita
 
Ederaa umekuja nitangaza uku ,ilaa c mbaya maana pale pale ulivyoondokaa alikujaa pisi kali kuliko ww na ndio nipo kwenye mchakato wakulaa mbususu yake
 
Anita shija ,
Hili tangazo la kitabu chako umelidesign vizuri sana,
Hongera!
Umewaza kama mimi.. hata hii account ni mpya mahususi kwa uzi huu.

Naamini mwisho wa siku atatupatia jinsi ya kukipata kitabu chake!!

Kama kuna softcopy aisisite kuni PM
 
Wewe ndo ulimchukulia vibaya na karoho kako ka mashindano
 
Wewe unaonaje hizo flowline zake, maana wanawake ndizo flow zetu hizo

Hilo neno "mkaka" ndilo linatumiwa na nyie Kinadada, lakini mengine mmh!
Ukishaona demu anakuita mkaka ujue kashawaka na wewe huyo
 
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sawa...hakuna asopenda hela..ht mimi napenda kweli tena haswaa....ila kuna namna wanakosea approach....kujimwambafy kwa maneno inakeraaaaaaaa[emoji1787]
Bora umekuwa mkweli tu maana wengine huwa wanafiki sana mwanzoni na kujifanya hajali mambo ya status😅 ila deep down huwa wanaume tunaelewa kuwa mademu wengi bila kujikosha kwa simu za dili za hela ndefu au vitu vya thamani ni nadra kupata attention.
 
Haha..
Barbie umenichekesha..! Ku unlock feelings tu ama mpaka pochi iliyokuwa locked.??

Anyways, tafuta hichi 'the power of pussy' - by Kara King..!!

C'ssy Heaven Sent uliwahi waambia wanaume hili kwenye ile thread yako..!!
Watoto wazuri leo mmeamua kutupa semina ya kuwa win kabisa😂 kweli dunia inaenda kasi
 
Labda ni wewe tu kwasababu una akili zako.

Ila wanawake sasa ni warahisi sana.
Wanawake ni warahisi kama una kile wanachokitaka. Key to attraction aidha uwe handsome, uwe na status na influence kwenye jamii, uwe na hela. Mwanamke huwa anapenda kimojawapo hapo.

Sikuhizi wanawake wengi wako obsessed na hela yani mwanaume yeyote anaeflash hela kwenye approach yake aidha outing za gharama au kuhonga honga bila kujali ni rahisi kumvutia mwanamke japo sio wote watakuwa na mapenzi ya kweli ila hela zako wanazitaka.

Pia hela inaleta kujiamini sana so kwa vidume sisi kwetu ni key ingredient ya kum face mwanamke yeyote yule anaepita usoni bila kusita. Mademu wengi wanavutiwa na hii trait. Sasa kosa wanalofanya wanaume wengine ni ushamba wa kuanza ku floss ooh mi nina gari, nina nyumba blaah blaah!
 
Ooh af mie ndio namiliki zile apartments masaki pale maeneo ya Chole Road kama unaelekea Village Supermarket.
I think you would love to visit that place someday 😍!

Come roll with me on my latest edition G-Wagen Mercedes G63, would be fun miss lovel lets go places😛

Hapo kwa madem wa kibongo wabandika kucha akiiona hio G-Wagen tu kashaloa! Atajipigisha picha kama hana akili nzuri insta nzima wamtambue.
 
Kifupi umeeleweka, kuji attach uwanaume wako na mafanikio yako it presents weakness!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…