Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Hayo ni maoni yako kuhusu nilichoongea ila haibadilishi ukweli kuwa umekosea na sio muungwana.

Nimekuuliza swali mtu akisema ana miliki kitu gani wewe inakugharimu lita ngapi za damu?!

Anyways unataka kuplay 'reverse psychology' games then let me show u how its done.

Mimi pia naweza kusema wewe haujiamini and u need personality improvement kwasababu kwann umuogope mwanaume anaejitamba kwa mali zake...?!

Women always brag about them being fixers and bringing something special to the relationship with a man.

Wewe umepewa a very simple assignment ya kumbadili mwanaume ambaye anawekeza uanaume wake kwenye mali anapojiexpress....

Mbona umekimbia na umefeli kumshape huyo brother james ili awe better man with controlled and checked character, kwasababu last time i checked behind every composed and successful man there is a very smart, wise, supportive and understanding woman. Sasa if wewe ni best woman mbona umefeli kamtihani kadogo sana hako my dear?!

So kama umefeli kwa james utaweza kwa mtoto wako wa kiume kumsaidia asiwe na kitabia hicho kwa potential inlaws wako siku za mbeleni?!

Baby.... Its 21 century. U are supposed to be better than that. Sio kukimbia wanaume.
 
Ederra Me naona upo sahihi na hua sion ata umuhm wa kusema najishughulisha na nin mwanzon

Sina kawaida hata ya kumuuliza mtu anafanya kaz gan baada ya kuonana nae

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Upo sawa.
Sidhani kama unamtaka mwanamke utajitambulisha kwake kama "Nasibu Abdala" wakati umefanya kazi kubwa na kupata jina "Diamond Platnumz".
 
Sikuwa tayari. Sivutiwi na wanaume wasiojiamini. Na sio mimi tu. Kujiamini ndio silaha kuu ya kuvuta warembo.

Hao wanaume munaosema wanajiamini ndio vicheche wakubwa hapa mjini, Ukimuona mwanaume anakuface with full confidence ogopa sana, huyo ni mzinzi aliyekwishatunukiwa shahada ya udaktari wa uzinzi.

Baadae munaishia kuja kulia lia humu
 
Hao wanaume munaosema wanajiamini ndio vicheche wakubwa hapa mjini, Ukimuona mwanaume anakuface with full confidence ogopa sana, huyo ni mzinzi aliyekwishatunukiwa shahada ya udaktari wa uzinzi.

Baadae munaishia kuja kulia lia humu
Kaka unatuharibia aiseee ... SIJAPENDA
 

HII NI SAWA NA KUKUTANA NA MDADA
KAVAA NYWELE BANDIA, KAWEKA KUCHA BANDIA,KOPE BANDIA,KAJICHUBUA,HIZO MAKE UP USONI UTAFIKIRI KAPAKAA CHOKAA.
WA HIVI HATA KUMSALIMU NI MATUMIZI MABAYA YA SALAMU
 

Nimekumbuka kitu ulivosema mtu akikukuta kwenye position yako ndo anakuheshimu[emoji23][emoji119]


Back in secondary nilikuaga na rafiki angu mmoja nakaa kwao sasa kila siku asubuhi tukiwa tunaenda shule kuna kaka tulikua tunaonana nae anavaa tu kawaida huwezi ata jua kazi yake jamaa kila akijaribu kuongea na rafik angu anachomolewa yan akawa anamdharau mchizi kabisa anamwona ni mwanaume wa kawaida[emoji16] nyie Mungu huyu kuna siku si ndo akaumwa kwenda hospital akamkuta yule yule ndo daktari anaemtibuu woooiii kutoka hapo akaja kujua kua kumbe jamaa ana mawe yake vizuri tuu sio mtu wa shida kama alivokua anamfikiria hapo mwanzo[emoji16][emoji16] natokea hapo demu akazama kwa mchiziii[emoji1787]

What am trying kusema ni kwamba umeongea kitu kizuri wanawake sikuizii tunathamini sana kituu kuliko mtu mwemyew kuna mtu aliwahi niambia mwanamke anamoenda mwanaume kulingana na future yake na mwanaume anampenda mwanamke kulingana na past yake ko jamaa hakukosea sana kujitamba mana wanawake wengi tunaangalia uwezo wa mwanaume kwanza[emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]
 
Sasa huyo rafiki yako kazama au position ya mshikaji imemzamisha
 
haswa umenielewa maana yangu,Kwahiyo kwa uzoefu wangu kama unakutana na mdada kwenye yale mazingira ambayo unajua mtaonana tena tu,mfano mnaishi mtaa mmoja unaweza usifanye papara ili akujue taratibu.Lakini imetokea upo kikazi mji mwingine,umeenda restaurant kule,pap unakutana na mdada huyu hapa,na kesho una mpango wa kusepa,hapo lazima karata yako yenye nguvu lazima uiweke mezani,vinginevyo HUTOPATA NAMBA...ni aibu haya mambo yanatokea,wanawake wengi wanaangukia kwenye mikono mibaya sababu wanaume wameshajua udhaifu huo...
 
Yaani dunia ya sasa ujifunze kutongoza kwa kusoma vitabu?

Kila mwanamke ana approach yake kulingana na haiba yake. Huenda Janes alikosea kukusoma vizuri kwa haraka.
 
Kwa style ya Mshikaji akiitumia katika mademu 10 atapata 9 na huyo mmoja ataenda anaumia sana moyoni why kaipoteza hiyo nafasi...!! Wanawake wanapenda material things asilimia 99 hiyo moja ndo inaweza kuwa upendo ndo maana kama huna hela hata mkeo utapata tabu nae...! So kwa asilimia 99 jamaa alikua sahihi ila tu kama ana danganya bhasi wengi atakaowapata atawapoteza ndani ya muda mfupi...
 
Yaani dunia ya sasa ujifunze kutongoza kwa kusoma vitabu?

Kila mwanamke ana approach yake kulingana na haiba yake. Huenda Janes alikosea kukusoma vizuri kwa haraka.
James hakukosea ila James amejikita kwenye Uhalisia zaidi kuhusu tabia za wanawake so demu akahisi jamaa anamchoraaa...
 
James hakukosea ila James amejikita kwenye Uhalisia zaidi kuhusu tabia za wanawake so demu akahisi jamaa anamchoraaa...
Sure.
Jiulize hadi umri alio nao ametongozwa na wangapi, na wangapi amewaanzishia mada hata kama siyo JF?
 
Sure.
Jiulize hadi umri alio nao ametongozwa na wangapi, na wangapi amewaanzishia mada hata kama siyo JF?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Juzi kati nilichukua namba ya demu hata jina hatujajuana kasema ana shida ya vochaa nkamtumia tumechat kidogo akaomba 50K[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yani ni dak 5 baada ya kuweka vocha tu sasa hapo si balaaa
 
Huenda neno my au dear umeshaitwa tayari ndani ya dakika hizo[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…