Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Hayo ni maoni yako kuhusu nilichoongea ila haibadilishi ukweli kuwa umekosea na sio muungwana.Kaka umekaa vizuri kwenye viatu vya James. Lakini umeonesha moja ya dalili kuu za wanaume wasiojiamini. Nayo ni kuchukulia mambo too personal na kuumia kihisia wanapodhani wamedharauliwa. Unahitaji mafunzo ili uweze kujiamini. Legeza ubongo. Kuwa tayari kujifunza.
Nimekuuliza swali mtu akisema ana miliki kitu gani wewe inakugharimu lita ngapi za damu?!
Anyways unataka kuplay 'reverse psychology' games then let me show u how its done.
Mimi pia naweza kusema wewe haujiamini and u need personality improvement kwasababu kwann umuogope mwanaume anaejitamba kwa mali zake...?!
Women always brag about them being fixers and bringing something special to the relationship with a man.
Wewe umepewa a very simple assignment ya kumbadili mwanaume ambaye anawekeza uanaume wake kwenye mali anapojiexpress....
Mbona umekimbia na umefeli kumshape huyo brother james ili awe better man with controlled and checked character, kwasababu last time i checked behind every composed and successful man there is a very smart, wise, supportive and understanding woman. Sasa if wewe ni best woman mbona umefeli kamtihani kadogo sana hako my dear?!
So kama umefeli kwa james utaweza kwa mtoto wako wa kiume kumsaidia asiwe na kitabia hicho kwa potential inlaws wako siku za mbeleni?!
Baby.... Its 21 century. U are supposed to be better than that. Sio kukimbia wanaume.