Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Sikuwa tayari. Sivutiwi na wanaume wasiojiamini. Na sio mimi tu. Kujiamini ndio silaha kuu ya kuvuta warembo.
Kwan we una urembo gani na hilo bichwa lako km kocha wa yanga
 
Daaaa maisha kujifunza...kujiamini kunatengenezwa na kujengwaaa
 
Huyu ndo type yangu sasa .Guys kuna somo hapa.

Namshikaji wangu ambae tunafanyanae kudeal la pamoja .So imetufanya washkaji.Jamaa kila nkikutana nae huwa hana demu na akilewa anaondoka na hata malaya wa grade za ambiance.

Siku nkampeleka kabaa wanakaa wadada classic kidogo pale kumekucha (independent women mnaita) tukakaa kama mara 4 kila tukienda anamsifia sana demu mmoja ni rafiki na dadangu wa damu.nkajisemea walau na jamaangu awe na demu wa maana .

Nkamuuliza vipi nkuunge akasema aah ww sio rahisi huyu ana misimamo sana nkamwambia jiamini.nkamfata nkamleta mezani nkamwambia rafiki yangu anasema huwa anakuskiza ukipiga stori unamadini sana japo unaonekana unamapozi hebu msalimie afu nakuja nkukute hapa.nia wazoeane nkakaa nje kama saa narudi nakuta jamaa kalewa kaanza kama za bwana james ooh ntapiga sana hela mwakani walionidharau watanijua.ooh nimesoma ilboru niliumwa ndo skuwa tz 1.mara babangu ananikubali sana ....oooh shiit

Nkamwambia pembeni demu jamaa kasema kesho tukutane mahali amekuelewa ni kalewa tu .(yaan namuombea date appointment)

Kesho nkambana jamaa amwite mahali hotel .kuja demu kapendeza balaa(guys huwa ni imeisha akikujia na dela huwa bado hujakaza) jamaa aliendelea na mastori zake kumbuka sio weekend na ni saa 7 .jamaa anamuuliza "sasa niweke wazi unanipa leo au hunipi nijue moja mm ni mtu straight.." asee sikujua yule dada alipoteaje mezani .

Wanawake hawapendi questions wanataka leading suggestions
Usimuulize jumamosi utakuwa na muda tukaangalie band? Wrong
Uliza.jumamosi mama tunaenda band ya kina banana ni kali balaa sasa nije nikuchukue saa ngapi ?

Usimuulize :vipi unaskia njaa saizi? Na unaona ni saa 7 na nusu

Uliza : kuna mahali kuna kukuwa sekela ni gumzo mjini nataka tukamuenjoy hivi nikitaka kukupick nipaki geti la mbele au upande ule wa pili?

Guys tubadilike sio kwamba wanawake wanapenda pesa .ila hakuna asiependa asieonesha future nzuri .mm namshikaj ni dalali wa magali ila graduate huwezi amini ana demu anamaduka yake ya nguo anaendesha discovery 3 .na jamaa ana ist tu.nlimuuliza nn siri akasema
1.Hela ya mwanamke haikuhusu
Jamaa anasema huwa anaishi nae kama demu mwanachuo hajihusishi kabisa na hela yake wala hamkopi
2.Kujiamini
Anasema kuna siku alienda harusi bila kumwambia jamaa akampigia kuwa njoo hapa sehemu A nkutambulishe rafiki zangu .akamjibu nko harus.akamwambia nani kakuruhusu ? Demu akamwambia nimejiruhusu.Jamaa akamwambia mm mpenz wangu sijamruhusu kwenda harusi yoyote na ninachojua nimemwita hapa akakata simu.demu alituma sms kama 10 na missed 10 jamaa hakujibu.baada ya saa demu akaibuka huyu.kumuona demu analalamika unaudikteta sijui mkorofi.jamaa akamwambia paki gari hapo .kisha akamuweka kwa ist akamrudisha harusini akamwambia ukimaliza ntakuja kukuchukua sasa natambua mpenzi wangu yuko harusini.
 
afghhh!!,nihangaike na wanawake, nidanganye,nijiproud kisa nimpate mwanamke na utamu unatoka kwangu mwenyewe na white wash 600 natumia mwaka mzima? kutongoza ni usenge,ndomana kuna wanawake huwa nawachunia tu ,unakuta anajibaraguza ili nimtongoze mijicho nyanya tu na mcheki,wanawake wengine ni wangese ,unakuta mtu uko smat,pesa ipo ,unamtongoza kwa uzuri ye anatumia gape lile mbele za watu kujikatalisha.kumbe anataka kujibrand kwa watu.kwamba huyu dem mpaka anamkataa yule atakuwa matawi ya juu.NB ukiona dem anajiona mzuri maneno mengi mpotezee,maana wanawake ni mamazetu ila iq zao ndogo sana
 
mkuu wanawake wana iq kwa wastan kubwa kuliko wanaume .ila wamepitwa na wanaume vitu mbili
-nguvu za kimisuri
-nguvu za kihisia
Mengine niwanadamu sawa
Nachokusoma hujiamini tu na isitoshe kukataliwa sio kitu kibaya hatujasema ukiwa na hela mzuri na unajiamini utapata wote bali inakuongezea chansi 80%
 
kama wana akili mkuu lejea kichwa cha habari cha mleta mada hapo juu anajuta kwakuipoteza bahati yake kwa upumbafu wake amanini?,kijana mzuri,anapesa ila ........NB nikuelimishe tu mkuu siku zote akili za mwanamke ziko kwenye utupu wake tu.
 
kama wana akili mkuu lejea kichwa cha habari cha mleta mada hapo juu anajuta kwakuipoteza bahati yake kwa upumbafu wake amanini?,kijana mzuri,anapesa ila ........NB nikuelimishe tu mkuu siku zote akili za mwanamke ziko kwenye utupu wake tu.
Tajiri ni wanawake ni kama watoto wanaishi kwenye dunia ya mapozi ndo maana unaona sisi wanaume hata mgombane vipi hammalizi wiki yameisha .wao wanaweza kutoongea mpaka kufa kisa hakumualika kwenye birthday
 
Wasipotongozwa wanachanganyikiwa na kuishia Kwa waganga wa kienyeji, mapasta matapeli na si ajabu hata kujiua!
Tukijitosa na uwezo wetu twaambiwa hatujuwi tongoza!
Wanawake pasua kichwa walahi!
Haya tuendelee masela...
 
Ungemkubalia alafu ule hela zake yeye sikajionyesha anazo. Unazichezea alafu unampiga na kitu kizito na mapaja hufungui
 
Wasipotongozwa wanachanganyikiwa na kuishia Kwa waganga wa kienyeji, mapasta matapeli na si ajabu hata kujiua!
Tukijitosa na uwezo wetu twaambiwa hatujuwi tongoza!
Wanawake pasua kichwa walahi!
Haya tuendelee masela...
AKILI ZAO ZIPO KWENYE UCHI WAO
 
Wasipotongozwa wanachanganyikiwa na kuishia Kwa waganga wa kienyeji, mapasta matapeli na si ajabu hata kujiua!
Tukijitosa na uwezo wetu twaambiwa hatujuwi tongoza!
Wanawake pasua kichwa walahi!
Haya tuendelee masela...
Sio kichwa tu,ukitaka hata miguu wanakuvunja[emoji1787]
 
I beg to differ Madame, inawezekana wewe haungoleki kwa material being na bring bring za wanaume, lakini nakuhakikishia, 97+ya wanawake wanazuzuka kwanza na muonekano wa mwanaume kwa nje, na, akiwa na ndinga, ndio kabisaaa, wanachukulika kirahisi, alichokosea(kwako wewe individually), ni kuziweka Mali zake mbele Sana ya macho yako,
Miaka hiyo nikiwa bado shababy, pamba zangu, na ndinga(tena ya, ofc), ilinijengea picha nzuri Sana mbele ya wadsda, kiasi kwamba, hata nikiwa kwa miguu,nikiomba namba, ni faster, maana walijua Yule kaka wa Rav 4!
Kitendo cha kuingia eneo, tena umeulamba, na ukapaki Vogue, Lexus, Nissan patrol, V8 300 series, na eneo Hilo wadsda wakakuona, hata wawe wake za watu, aslimia 80 watatoa number ukiomba,
Wewe utwkuwa ni exceptional, asilimia mbili tu, huzuzuki na ukwasi, may be na wewe una ukwasi wa kutosha, sasa ilibidi jamaa aje na gia nyingine,
May be awe na athletic features, mrefu, mweupe!
Ila karne hii, ndinga hata kama ya kuazima, ukiweka na ka ujasiri kidogo, unangoa mdsda yeyote.
 
Huyu n Mimi kabsa......mbinu hii hii ya kujisifu na ninavyomiliki ndio ilinipa mwanya wa kumpata shemeji y'ako.......binafs nilkua naendesha trecta ya kaburu mmoja basi mi nkamfanganya ni yangu na hizi mashamba ya mpunga ni zangu pia......Mwisho wa Siku ikabaki historia tu
 
VP ulishaludi kumtafuta offcn kwake
 
Kumbe kuna wanawake wanajielewa bado?
Kilichokutokea kimenikuta last 2 weeks kwa wanaume wawili tofauti.

1. Mwanajeshi; Huyu alikuwa mteja tu kaja ofisini. Nilipomuona tu akaniangalia kwa namna fulani nikajua tu huyu tayari…

Akaanza kupiga simu mara ajigambe yeye ni daktari Lugalo na mambo kibao, mi kimya.
Kuona sishughuliki nae niko busy ndio akaanza kunisemesha “We dada mzuri mambo? Nisaidie kuniitia Bolt”

Nikamuuliza huna kwenye simu yako? Download tu kama internet tukuunge na ya hapa, akaanza blahblah ila nilijua lengo lake alitaka kuipata namba yangu kupitia dereva wa bolt nilimpotezea hadi leo akija ana adabu.

2. Mwenye gari
Huyu hata simjui, ila kumbe ananijua na anajua ninakoishi, hiyo siku akanipa lift nikakataa, akasisitiza sana mwisho akakubali akaondoka.

Siku nyingine nikamkuta ananisubiri kwa miguu, ndio kutembea sasa na blahblah kibao jinsi anavyotumia hela nyingi na anavyokula bata na kuwapa watu hela wanazomuomba.

Sikumuonesha ila nilimdharau mno, wanaume wa majigambo kwa wanawake wanaojielewa ni sumu!

Siko single na nisingeweza kuwa nao ila walipoteza heshima ya uanaume kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…