Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan we una urembo gani na hilo bichwa lako km kocha wa yangaSikuwa tayari. Sivutiwi na wanaume wasiojiamini. Na sio mimi tu. Kujiamini ndio silaha kuu ya kuvuta warembo.
[emoji23][emoji23]Kwan we una urembo gani na hilo bichwa lako km kocha wa yanga
mkuu wanawake wana iq kwa wastan kubwa kuliko wanaume .ila wamepitwa na wanaume vitu mbiliafghhh!!,nihangaike na wanawake, nidanganye,nijiproud kisa nimpate mwanamke na utamu unatoka kwangu mwenyewe na white wash 600 natumia mwaka mzima? kutongoza ni usenge,ndomana kuna wanawake huwa nawachunia tu ,unakuta anajibaraguza ili nimtongoze mijicho nyanya tu na mcheki,wanawake wengine ni wangese ,unakuta mtu uko smat,pesa ipo ,unamtongoza kwa uzuri ye anatumia gape lile mbele za watu kujikatalisha.kumbe anataka kujibrand kwa watu.kwamba huyu dem mpaka anamkataa yule atakuwa matawi ya juu.NB ukiona dem anajiona mzuri maneno mengi mpotezee,maana wanawake ni mamazetu ila iq zao ndogo sana
kama wana akili mkuu lejea kichwa cha habari cha mleta mada hapo juu anajuta kwakuipoteza bahati yake kwa upumbafu wake amanini?,kijana mzuri,anapesa ila ........NB nikuelimishe tu mkuu siku zote akili za mwanamke ziko kwenye utupu wake tu.mkuu wanawake wana iq kwa wastan kubwa kuliko wanaume .ila wamepitwa na wanaume vitu mbili
-nguvu za kimisuri
-nguvu za kihisia
Mengine niwanadamu sawa
Nachokusoma hujiamini tu na isitoshe kukataliwa sio kitu kibaya hatujasema ukiwa na hela mzuri na unajiamini utapata wote bali inakuongezea chansi 80%
Tajiri ni wanawake ni kama watoto wanaishi kwenye dunia ya mapozi ndo maana unaona sisi wanaume hata mgombane vipi hammalizi wiki yameisha .wao wanaweza kutoongea mpaka kufa kisa hakumualika kwenye birthdaykama wana akili mkuu lejea kichwa cha habari cha mleta mada hapo juu anajuta kwakuipoteza bahati yake kwa upumbafu wake amanini?,kijana mzuri,anapesa ila ........NB nikuelimishe tu mkuu siku zote akili za mwanamke ziko kwenye utupu wake tu.
Ungemkubalia alafu ule hela zake yeye sikajionyesha anazo. Unazichezea alafu unampiga na kitu kizito na mapaja hufunguiNilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
Nikamjibu "Nimeagiza chakula. Ndio nakisubiri."
"Oh sawa. Vizuri tufahamiane. Me naitwa James, naishi (******). Nafanya kazi hapo (****) Bank kama branch manager. Nikufahamu na wewe please!"
"Naitwa Ederra. Naishi (******).". Nikajitambulisha.
Akaendelea na stori nyingine kwa dakika chache kisha akainuka na kusema angerudi pale punde. Baada ya dakika tatu akarudi.
"Nimerudi Ederra. Nilienda kuangalia gari yangu. Nilikuwa na wasiwasi kama nilikuwa nimepandisha vioo." Akasema huku akikaa tena kwenye kiti.
"Sawa. Karibu tena."
"Asante. Nilikuwa naogopa isije kunyesha mvua au watu wakaniibia KiBMW changu. Unajua gari yenyewe ni mpya nisije kupata hasara. Nilichoka kutembelea Harrier nikaona ninunue na hii"
"Yeah wasiwasi ndio akili." Nikamuunga mkono.
Chakula kikafika. Na yeye akaagiza. Nikawa naendelea kula huku nikisikiliza stori za magari yake, kazi yake nzuri, anapoishi na nyingine kama hizo mpaka nikamaliza kula.
Mhudumu alipokuja kuleta chakula cha jamaa nikamuomba bill.
"Acha tu nitalipa Ederra. Unalipaje wakati mimi niko hapa?" James akaingilia kati.
"Oh sawa. Nashukuru sana."
Nikamuaga kuwa naondoka. Akaniomba namba ya simu. Nikamwambia anipe yake ningemtafuta. Akanipa business card yake na kung'ang'ania nimpigie pale pale lakini nikamwambia asijali ningemtafuta tu. Nikaondoka.
Ile business card niliitupa kwenye dustbin baada ya kupotea kwenye upeo wa macho yake. Nisamehe James. Sio kwa ubaya.
Mwanaume unapotumia nguvu kutaka kuonesha magari unayoendesha, kazi yako unayoiona nzuri, unapoishi na mafanikio yako mengine kwa mwanamke ambaye ndiye kwanza unakutana naye unadhani ndiyo utamvutia?
Hii tabia haivutii. Meseji ya nje unayoileta kwa kufanya hivyo ni kuwa wewe ni mtu wa maana sana na mwenye mafanikio. Meseji hii ya nje sio inayoathiri mvuto wako kwenye akili ya mwanamke.
Meseji iliyojificha (ya ndani kabisa) ndio inayoathiri mvuto wako. Hiyo ni kwamba hujiamni na unadhani huna thamani wewe kama mwanaume na hivyo unalazimika kutumia vitu kama magari, kazi, mafinikio ili uonekane una thamani. Hakuna mwanamke anayejielewa anavutiwa na mwanaume wa hivi.
James asante kwa kunilipia chakula. Lakini wewe na wanaume wengine wenye akili kama zako badilikeni. Itawasaidia.
Jifunzeni kuwa na tabia zinazowavutia wadada. Mnaweza kusoma vitabu hivi viwili mtanishukuru baadae.
1) "UNLOCK HER LEGS: How to Effortlessly Attract Women..." By Dominic Mann
2) "MWANAUME WA DHAHABU : Jifunze Namna ya Kuwatawala Wanawake na Kutawala Mahusiano." By Anita Shija
Mwanaume tafuta uvisome yasije kukukuta ya James. Hasa hicho cha Kiswahili.
AKILI ZAO ZIPO KWENYE UCHI WAOWasipotongozwa wanachanganyikiwa na kuishia Kwa waganga wa kienyeji, mapasta matapeli na si ajabu hata kujiua!
Tukijitosa na uwezo wetu twaambiwa hatujuwi tongoza!
Wanawake pasua kichwa walahi!
Haya tuendelee masela...
Sio kichwa tu,ukitaka hata miguu wanakuvunja[emoji1787]Wasipotongozwa wanachanganyikiwa na kuishia Kwa waganga wa kienyeji, mapasta matapeli na si ajabu hata kujiua!
Tukijitosa na uwezo wetu twaambiwa hatujuwi tongoza!
Wanawake pasua kichwa walahi!
Haya tuendelee masela...
I beg to differ Madame, inawezekana wewe haungoleki kwa material being na bring bring za wanaume, lakini nakuhakikishia, 97+ya wanawake wanazuzuka kwanza na muonekano wa mwanaume kwa nje, na, akiwa na ndinga, ndio kabisaaa, wanachukulika kirahisi, alichokosea(kwako wewe individually), ni kuziweka Mali zake mbele Sana ya macho yako,Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
Nikamjibu "Nimeagiza chakula. Ndio nakisubiri."
"Oh sawa. Vizuri tufahamiane. Me naitwa James, naishi (******). Nafanya kazi hapo (****) Bank kama branch manager. Nikufahamu na wewe please!"
"Naitwa Ederra. Naishi (******).". Nikajitambulisha.
Akaendelea na stori nyingine kwa dakika chache kisha akainuka na kusema angerudi pale punde. Baada ya dakika tatu akarudi.
"Nimerudi Ederra. Nilienda kuangalia gari yangu. Nilikuwa na wasiwasi kama nilikuwa nimepandisha vioo." Akasema huku akikaa tena kwenye kiti.
"Sawa. Karibu tena."
"Asante. Nilikuwa naogopa isije kunyesha mvua au watu wakaniibia KiBMW changu. Unajua gari yenyewe ni mpya nisije kupata hasara. Nilichoka kutembelea Harrier nikaona ninunue na hii"
"Yeah wasiwasi ndio akili." Nikamuunga mkono.
Chakula kikafika. Na yeye akaagiza. Nikawa naendelea kula huku nikisikiliza stori za magari yake, kazi yake nzuri, anapoishi na nyingine kama hizo mpaka nikamaliza kula.
Mhudumu alipokuja kuleta chakula cha jamaa nikamuomba bill.
"Acha tu nitalipa Ederra. Unalipaje wakati mimi niko hapa?" James akaingilia kati.
"Oh sawa. Nashukuru sana."
Nikamuaga kuwa naondoka. Akaniomba namba ya simu. Nikamwambia anipe yake ningemtafuta. Akanipa business card yake na kung'ang'ania nimpigie pale pale lakini nikamwambia asijali ningemtafuta tu. Nikaondoka.
Ile business card niliitupa kwenye dustbin baada ya kupotea kwenye upeo wa macho yake. Nisamehe James. Sio kwa ubaya.
Mwanaume unapotumia nguvu kutaka kuonesha magari unayoendesha, kazi yako unayoiona nzuri, unapoishi na mafanikio yako mengine kwa mwanamke ambaye ndiye kwanza unakutana naye unadhani ndiyo utamvutia?
Hii tabia haivutii. Meseji ya nje unayoileta kwa kufanya hivyo ni kuwa wewe ni mtu wa maana sana na mwenye mafanikio. Meseji hii ya nje sio inayoathiri mvuto wako kwenye akili ya mwanamke.
Meseji iliyojificha (ya ndani kabisa) ndio inayoathiri mvuto wako. Hiyo ni kwamba hujiamni na unadhani huna thamani wewe kama mwanaume na hivyo unalazimika kutumia vitu kama magari, kazi, mafinikio ili uonekane una thamani. Hakuna mwanamke anayejielewa anavutiwa na mwanaume wa hivi.
James asante kwa kunilipia chakula. Lakini wewe na wanaume wengine wenye akili kama zako badilikeni. Itawasaidia.
Jifunzeni kuwa na tabia zinazowavutia wadada. Mnaweza kusoma vitabu hivi viwili mtanishukuru baadae.
1) "UNLOCK HER LEGS: How to Effortlessly Attract Women..." By Dominic Mann
2) "MWANAUME WA DHAHABU : Jifunze Namna ya Kuwatawala Wanawake na Kutawala Mahusiano." By Anita Shija
Mwanaume tafuta uvisome yasije kukukuta ya James. Hasa hicho cha Kiswahili.
Huyu n Mimi kabsa......mbinu hii hii ya kujisifu na ninavyomiliki ndio ilinipa mwanya wa kumpata shemeji y'ako.......binafs nilkua naendesha trecta ya kaburu mmoja basi mi nkamfanganya ni yangu na hizi mashamba ya mpunga ni zangu pia......Mwisho wa Siku ikabaki historia tuNilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
Nikamjibu "Nimeagiza chakula. Ndio nakisubiri."
"Oh sawa. Vizuri tufahamiane. Me naitwa James, naishi (******). Nafanya kazi hapo (****) Bank kama branch manager. Nikufahamu na wewe please!"
"Naitwa Ederra. Naishi (******).". Nikajitambulisha.
Akaendelea na stori nyingine kwa dakika chache kisha akainuka na kusema angerudi pale punde. Baada ya dakika tatu akarudi.
"Nimerudi Ederra. Nilienda kuangalia gari yangu. Nilikuwa na wasiwasi kama nilikuwa nimepandisha vioo." Akasema huku akikaa tena kwenye kiti.
"Sawa. Karibu tena."
"Asante. Nilikuwa naogopa isije kunyesha mvua au watu wakaniibia KiBMW changu. Unajua gari yenyewe ni mpya nisije kupata hasara. Nilichoka kutembelea Harrier nikaona ninunue na hii"
"Yeah wasiwasi ndio akili." Nikamuunga mkono.
Chakula kikafika. Na yeye akaagiza. Nikawa naendelea kula huku nikisikiliza stori za magari yake, kazi yake nzuri, anapoishi na nyingine kama hizo mpaka nikamaliza kula.
Mhudumu alipokuja kuleta chakula cha jamaa nikamuomba bill.
"Acha tu nitalipa Ederra. Unalipaje wakati mimi niko hapa?" James akaingilia kati.
"Oh sawa. Nashukuru sana."
Nikamuaga kuwa naondoka. Akaniomba namba ya simu. Nikamwambia anipe yake ningemtafuta. Akanipa business card yake na kung'ang'ania nimpigie pale pale lakini nikamwambia asijali ningemtafuta tu. Nikaondoka.
Ile business card niliitupa kwenye dustbin baada ya kupotea kwenye upeo wa macho yake. Nisamehe James. Sio kwa ubaya.
Mwanaume unapotumia nguvu kutaka kuonesha magari unayoendesha, kazi yako unayoiona nzuri, unapoishi na mafanikio yako mengine kwa mwanamke ambaye ndiye kwanza unakutana naye unadhani ndiyo utamvutia?
Hii tabia haivutii. Meseji ya nje unayoileta kwa kufanya hivyo ni kuwa wewe ni mtu wa maana sana na mwenye mafanikio. Meseji hii ya nje sio inayoathiri mvuto wako kwenye akili ya mwanamke.
Meseji iliyojificha (ya ndani kabisa) ndio inayoathiri mvuto wako. Hiyo ni kwamba hujiamni na unadhani huna thamani wewe kama mwanaume na hivyo unalazimika kutumia vitu kama magari, kazi, mafinikio ili uonekane una thamani. Hakuna mwanamke anayejielewa anavutiwa na mwanaume wa hivi.
James asante kwa kunilipia chakula. Lakini wewe na wanaume wengine wenye akili kama zako badilikeni. Itawasaidia.
Jifunzeni kuwa na tabia zinazowavutia wadada. Mnaweza kusoma vitabu hivi viwili mtanishukuru baadae.
1) "UNLOCK HER LEGS: How to Effortlessly Attract Women..." By Dominic Mann
2) "MWANAUME WA DHAHABU : Jifunze Namna ya Kuwatawala Wanawake na Kutawala Mahusiano." By Anita Shija
Mwanaume tafuta uvisome yasije kukukuta ya James. Hasa hicho cha Kiswahili.
James nisamehe basi. Nipe namba yako nikurudishie 6,500 yako.
VP ulishaludi kumtafuta offcn kwakeNilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.