babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Ni huyo ,na hafanyi kazi tena huko ni mjasiliamali.Hakuna mahala nimesema ni NBC na wala sikutaja mkoa wala jina la tawi.
Fanya Basi na Cha kiswahili mkuu
Naijua mrembooDustbin unaijua?
Nooo nilikulipia tu wala sikuwa na shida na wewe nilikusanifu tu.
Huenda alitaka umuuzie mzigo, ale kisha asepe zake.. Huenda alikuona umekaa kimalaya malaya..Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
Amfundishe ili akatongoze???Kwa hiyo ulikuwa tayari tatizo Ni approach!!! Sasa ungemkubalia alafu ukamfundisha mdogomdogo na kumpa hizo nondo. Au ulikuwa unatiming nyingine
Kitabu kizuri sana..
😂😂Jifunzeni kuwa na tabia zinazowavutia wadada. Mnaweza kusoma vitabu hivi viwili mtanishukuru baadae.
1) "UNLOCK HER LEGS: How to Effortlessly Attract Women..." By Dominic Mann
2) "MWANAUME WA DHAHABU : Jifunze Namna ya Kuwatawala Wanawake na Kutawala Mahusiano." By Anita Shija
Mwanaume tafuta uvisome yasije kukukuta ya James. Hasa hicho cha Kiswahili. Usipovipata njoo nikutumie bure tu. Utachangia bando lakini.