Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Hongera sana bila shaka wewe ni Mwanamke wa Shoka siyo Wanawake wengine wakisikia Gari wanachanganyikiwa.
 
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
Huenda alitaka umuuzie mzigo, ale kisha asepe zake.. Huenda alikuona umekaa kimalaya malaya..

Sasa akutongoze kwa staha ili iweje mamangu, wakati ni suala tu la kulipana Pesa?
 
Unamtongoza mwanamke kisha anakujibu kwa nyodo "kwanza wewe sio taipu yangu", halafu baada ya siku kadhaa yeye ndiye anakuwa wa kwanza kukutafuta ili ukampe borlo kwa namna alivyokwisha kunogewa
 
Jifunzeni kuwa na tabia zinazowavutia wadada. Mnaweza kusoma vitabu hivi viwili mtanishukuru baadae.

1) "UNLOCK HER LEGS: How to Effortlessly Attract Women..." By Dominic Mann

2) "MWANAUME WA DHAHABU : Jifunze Namna ya Kuwatawala Wanawake na Kutawala Mahusiano." By Anita Shija

Mwanaume tafuta uvisome yasije kukukuta ya James. Hasa hicho cha Kiswahili. Usipovipata njoo nikutumie bure tu. Utachangia bando lakini.
😂😂
Aisee!

Why ulisoma hivyo vitabu vya wanaume?

Au ww ndo Anita Shija unafanya promo ya kitabu chako?

Anyway, asante kwa taarifa
 
Back
Top Bottom